What are some crazy interesting conspiracy theories?

Masafa marefu kwa kipimo kipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hawa ndo viumbe(sna uhakika kama ni binadamu kwa sababu nadhani hawana mwili) wanao controll vtu vyote vyenye nguvu dunian kama vile pesa,jeshi,biashara,technology, mashirika makubwa mfano WHO and the likes. Wanafanya mambo mengi mnoooo mm ni mviv wa kuandika.,,,nina link ya hyo article kama unajua kiingrish naeza kukutumia link
Hapana! nielimishe kuhusu wao.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kidogo cha kuombea maji, na mzee google atanisaidia pia naomba link mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka nikuthibitishe tatizo la aliyekuambia kuwa kuna watu walishuhudia? Au unataka nikuthibitishie kuwa hilo tukio halikutokea?
Vyote viwili kaka mkubwa. Yaani usiache hata kimoja katika kauli hizo mbili.
 
Sasa mbona kauli yako ilikuwa "thibitisha hilo" na siyo "thibitisha hayo"?

Moja imewasilisha mengi kijana. Na kuweka nukta mbili ni sababu ya uoga wako ila nukta mbili hizo zote zinaingia katika "hilo".

Sasa usipoteze muda.
 
Hujathibitisha bado, nilijua hutaweza kuthibitisha.
 
Thibitisha hilo.
Unataka nikuthibitishe tatizo la aliyekuambia kuwa kuna watu walishuhudia? Au unataka nikuthibitishie kuwa hilo tukio halikutokea?
Vyote viwili kaka mkubwa. Yaani usiache hata kimoja katika kauli hizo mbili.
Sasa mbona kauli yako ilikuwa "thibitisha hilo" na siyo "thibitisha hayo"?
Moja imewasilisha mengi kijana. Na kuweka nukta mbili ni sababu ya uoga wako ila nukta mbili hizo zote zinaingia katika "hilo".

Sasa usipoteze muda.
Hivi kuna siku Zurri ukikosea ukikosolewa unakubaligi kwamba ni kweli hapa nimekosea? Seems kwako mambo ni perfect, perfect tuu.

Raha ya ukikosea, ukiambiwa kubali kwanza, na sio kujaribu kulifanya kosa lako liwe kweli.
 
Huwa nakiri sana na huwa nakubali kosa.

Siku nikikosea kweli na ukanikosea lazima nitakubali kosa tu, wewe subiri uone.
 
Onyesha wapi nilipo kosea, kama nimekosea kweli nakiri kosa, kisha tinaendelea na mamno mengine.

Ahsante.
Rejea comment yangu ya mwanzo.
Nimeweka mtiririko wa comments zenu, na kama hautaliona kosa basi hauna nia ya kukubali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…