What are some crazy interesting conspiracy theories?

What are some crazy interesting conspiracy theories?

I think You've missed the point Executive Diary.
Ni kweli kwamba UK walikuwa wanaona ndege zikiwa mbali kwa sababu walikuwa wanakula karoti?
Nahisi UK walikuwa tayari na advanced technology ambayo ujerman alikuwa hajaijua na Uk hakutaka kufichua siri akawaambia wale karoti.

Karoti inaweza ikawa kweli inasaidia uwezo wa kuona, lakini jee ukila carot utakuwa na uwezo wa kuona vifu vya masafa marefu?
Jibu ni hapana, you need Technology.
Masafa marefu kwa kipimo kipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hawa ndo viumbe(sna uhakika kama ni binadamu kwa sababu nadhani hawana mwili) wanao controll vtu vyote vyenye nguvu dunian kama vile pesa,jeshi,biashara,technology, mashirika makubwa mfano WHO and the likes. Wanafanya mambo mengi mnoooo mm ni mviv wa kuandika.,,,nina link ya hyo article kama unajua kiingrish naeza kukutumia link
Hapana! nielimishe kuhusu wao.

Kidogo cha kuombea maji, na mzee google atanisaidia pia naomba link mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka nikuthibitishe tatizo la aliyekuambia kuwa kuna watu walishuhudia? Au unataka nikuthibitishie kuwa hilo tukio halikutokea?
Vyote viwili kaka mkubwa. Yaani usiache hata kimoja katika kauli hizo mbili.
 
Sasa mbona kauli yako ilikuwa "thibitisha hilo" na siyo "thibitisha hayo"?

Moja imewasilisha mengi kijana. Na kuweka nukta mbili ni sababu ya uoga wako ila nukta mbili hizo zote zinaingia katika "hilo".

Sasa usipoteze muda.
 
Kwamba moja imewakilisha mengi sawa...mbna kwa kauli hii nahisi hata nisemeje kwa fact zipi kutoka kwa malaika hautabadilisha "imani" yako?
.
.
Okay labda nithibitishe la pili kuwa 1.
1.haiwezekani geographically na physically mwezi kugawanyika na kurudi ulivyokuwa. Na tena bila kuacha alama yoyote.
2.haiwezekani tukio kubwa kama hilo litojee na lisirekodiwe na wanahistoria na wanajiographia wa kipindi hiko kwasababu ni kipindi ambacho tayari ulimwengu ulikuwa developed na sehem kama ugiriki na uromani kulikuwa na wanasayansi na wanahistoria lazima wangerekodi.
3.Mwezi ni mkubwa usingeishia kuonekana madina tu,(hata kama utasema ulionekana na wengine nje ya vikundi vya Muhammad ushahidi wako utakuwa kwenye maneno au vyanzo vya watu wa Muhammad ambao watasema chochote hata kuwa Alexander the great alipouona mwezi aisilimu blah blah blah)

Kwahiyo kama tukio hilo halikutokea basi nimethibitisha kuwa aliyekusimulia pia ana matatizo...kama siyo yeye basi hao waliomuambia kuwa kuna mashuhuda wana matatizo kama sio hao basi mashahidi wenyewe wana matatizo
Hujathibitisha bado, nilijua hutaweza kuthibitisha.
 
Thibitisha hilo.
Unataka nikuthibitishe tatizo la aliyekuambia kuwa kuna watu walishuhudia? Au unataka nikuthibitishie kuwa hilo tukio halikutokea?
Vyote viwili kaka mkubwa. Yaani usiache hata kimoja katika kauli hizo mbili.
Sasa mbona kauli yako ilikuwa "thibitisha hilo" na siyo "thibitisha hayo"?
Moja imewasilisha mengi kijana. Na kuweka nukta mbili ni sababu ya uoga wako ila nukta mbili hizo zote zinaingia katika "hilo".

Sasa usipoteze muda.
Hivi kuna siku Zurri ukikosea ukikosolewa unakubaligi kwamba ni kweli hapa nimekosea? Seems kwako mambo ni perfect, perfect tuu.

Raha ya ukikosea, ukiambiwa kubali kwanza, na sio kujaribu kulifanya kosa lako liwe kweli.
 
Huwa nakiri sana na huwa nakubali kosa.

Siku nikikosea kweli na ukanikosea lazima nitakubali kosa tu, wewe subiri uone.
 
Onyesha wapi nilipo kosea, kama nimekosea kweli nakiri kosa, kisha tinaendelea na mamno mengine.

Ahsante.
Rejea comment yangu ya mwanzo.
Nimeweka mtiririko wa comments zenu, na kama hautaliona kosa basi hauna nia ya kukubali.
 
Back
Top Bottom