What are some crazy interesting conspiracy theories?


Bro usisababishe nikaenda kurudia kile kitabu, maana nikianza page hata 3 tu najikuta nakuwa na obligation ya kukimaliza.

Nakumbuka ile plot ya nyumbani kwake jamaa, shida sana.
 
Obama is Osama conspiracy..... They look alike ,all are left handed , face,nose length ,ears and height..

In real sense its not true
 
Hiyo ya Michelle Obama hata mimi ilinishangaza sana. Conspiracy theories za ajabu kwangu ni;-

1. Eminem amefariki toka mwaka 2006 kwa drug overdose. Huyu tunayemuona sasa ni clone tu.

2. Paul McCartney amefariki toka mwaka 1967 kwa ajali ya gari. Huyu tunayemuona sasa sio mwenyewe.

3. Baadhi ya watu maarufu ni mijusi kiuhalisia na wala si binadamu.

4. WaIran ndio waliomuua Michael Jackson ili kuhamisha attention ya dunia ambayo ilikuwa inafuatilia ghasia za baada ya uchaguzi wa mwaka 2009.

5. Finland haipo.

6. Robert De Niro ndie aliyempiga risasi Malala Yousafzai.

7. Ile ndege ya Malaysia MH370 iliyopotea March 2014 ndio MH17 iliyodunguliwa kule Ukraine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya Waingereza kugundua long range radars wakaanza kudetect na kuzitrack ndege za wajerumani na kuanza kuzidondosha.. Wajerumani kuona vile wakaanza kufuatilia waingereza wanazionaje ndege zao zikiwa mbali..

Mwingereza akawaingiza chaka kuwa wanajeshi wao wanakula sana karoti ndo maana wanaona mbali, wajerumani wakatoka nalo na kuitangazia dunia kuwa karoti zinafanya uone mbali ndo hadi leo tunakomaa na huu uzushi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…