Koffi Annan
JF-Expert Member
- Dec 23, 2018
- 1,771
- 5,087
kwani hiyo Mandela effect ndo nini
Ni hali ya watu wengi kuwa na kumbukumbu ya uongo juu ya jambo fulani au tukio fulani. Hali hiyo ilipewa jina la "Mandela Effect" kutokana na kuwepo kwa watu wanaodai kuwa wanakumbuka Nelson Mandela alifariki 1980's na wanakumbuka kabisa waliona mazishi yake katika Television.
Niliwahi muuliza mlokole flani kama ulivyosema akanijibu kuwa "wanavikomboa kabla hawajatumia" aisee nilienda chekea mbaliiiiiNachukizwa na wale wachungaji na mashehe waliokua wanapiga kelele kuhusu freemason. Wao kila kitu freemason mara usivae hiki, mara usiweke vidole hivi. Walivyo wajinga wanajifanya hawatumii vitu vya freemason halafu wanatumia Teknolojia ya hao wanaosema ni freemason kama vile Frequency, Waves, Wireless, Recording, CD nk nk. Katika kurekodi mahubiri yao
Sasa mtu kama huyu ni mpumbavu tu hutaki kutumia vitu vya freemason halafu unawahubiria watu na kurekodi kwenye CD zente Teknolojia ya Blueray ambayo imetoka kwa makafiri Marekani.
Ukiwa mjinga unakua mtaji wa kila mtu, Majamaa sijui waneishia wapi. Au Freemason wenyewe wamekwisha?
Pumzika kwa Amani Kanumba. Kifo chako ndio kilileta yote haya.
Early 2011 niliamini kabisa hii kitu.JF inamilikiwa na Chadema.
The craziest conspiracy theory has got to be the existence of an all knowing, all capable and all loving God.
It doesn't get any crazier than that.
Sent from my typewriter using Tapatalk
Your pardon is to uphold emI beg your pardon.
Kila ikikaribia uchaguzi wagombea wanatoa kafara ndio maana ajali zinakuwa nyingi na vifo. Au hii sio conspiracy theory?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha! Half of nyakyusa's vocabularies are as good as English vocabularies. Tumia tu kinyakyusa.Waswahili tunaruhusiwa kuchangia?
Maana kila nikijaribu kuandika kiingereza kinakuja kinyakyusa na kisukuma mbele mbele kama tai!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hiyo ni chai umenyweshwa apo.Lol,That's what the UK wants them to believe. I can't stop laughing.
That, they are done with him as far as Microsoft Company is concerned and has been dispatched to another mission- depopulating the world working alongside with MONSANTO, UNFPA and WHO.
The word goes that even in his documented WILL there is no mentioning of any of his siblings. The only thing that will be inherited by his blood is his personal property
Ya kurusha chumvi bundi akiimba?Kufagia ndani usiku kunaondoa riziki nyumbani
Kula na kisu kunasababisha kichomi
Kurusha chumvi jikoni wakati bundi analia karibu na nyumba usiku
Hiyo ya kwanza wazee walikua wana avoid kufagia vitu vya thamani ndani usiku since hakukua na umeme
Ya pili walikua wana avoid mtu kujikata ukila na kisu kwani hasa watoto walipendelea kula na kisu baada ya kukata eg tunda
Sent using Jamii Forums mobile app