What are some crazy interesting conspiracy theories?

What are some crazy interesting conspiracy theories?

Hiyo ya Finland wanadai kuwa Finland haipo ila Russia na Japan ndio wametengeneza uongo huo(kuwa kuna nchi inaitwa Finland) ili wawe wanavua samaki katika maeneo hayo bila kuingiliwa. Na wanadai hata kujengwa kwa Trans Siberian Railway ilikuwa ni kwa lengo la kusafirisha samaki hao kwenda Japan na samaki hao wanasafirishwa kwenda Japan kwa kificho kwa kuziziba kwa bidhaa za Nokia ili ionekane kama ni bidhaa za Nokia ndio zinasafirishwa.

Na kulithibitisha hilo wanasema ndio maana Japan ndie importer mkubwa zaidi wa Nokia products duniani licha ya kuwa ni watu wachache tu ndio wanaomiliki simu za Nokia Japan. Wanadai pia hata jina la Finland linaanza na "fin" kwa sababu samaki wana "fins". Kuongezea zaidi wanadai wanaodaiwa kuwa ndio raia wa Finland, kiuhalisia ni raia wanaoishi aidha Sweden, Estonia au Russia. Na hata Helsinki, ambao ndio mji mkuu wa Finland,wanadai unapatikana mashariki mwa Sweden. Wanadai picha zote za anga zinazoionesha Finland ni feki na marubani wote wanaoruka juu ya anga ya hiyo nchi inayodaiwa haipo wanapewa hongo ili waseme kuwa kuna nchi inaitwa Finland.


Na kuhusu hiyo ya Ndege ya Malaysia MH370 iliyopotea March 2014 kuwa ndio ndege ya Malaysia MH17 iliyodunguliwa Ukraine July 2014, wanadai Malaysia MH370 haikupotea bali ilifichwa tu na baadae ikawa reintroduced kama Malaysia MH17 na kudunguliwa July 2014 kwa sababu za kisiasa.



Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ya Finland nimeielewa vyema asante nitapata cha kusimulia.

Hii ya ndege kama ilifichwa na kuwa reintroduced vipi abiria waliokuwamo ndani?.
 
Around the tree running with that speed of light you gonna f**k yourself
You will need infinite energy to do that.

Your mass with approach infinity as you approach tge speed of light.

To move an object of infinite mass, you will need infinite energy.

The entire universe is not enough for that.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Haiwezi kuwa kama tandiko au kuonekana kama Tambarare kwa mtu aliyeko Morogoro mjini ambaye amezungukwa na milima ya Uluguru,labda inaweza kuonekana hivyo kwa wewe uliye jangwani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani nani alikwambia Milima ni sehemu ya hilo tandiko ? Twende kwa uhalisia.

Nakukumbusha tu ya kuwa hapa tunaongelea tandiko, na milima sio sehemu ya tandiko. Kwa minajiki hiyo uhalisia uko pale pale.
 
Write your reply...That there is an object from the space is close to heat the earth and that will be the end of the world...Also there are aliens living in there and they are brilliant than humans
 
Yeah,

Kuna jamaa mmoja Mmarekani nilikuwa namuheshimu kabisa, akasema hivyo hivyo George W. Bush ni lizard.

Halafu akasema anatabiri George W. Bush atajiuzulu urais, kwa sababu siri yake kwamba ni lizard imejulikana.

George W. Bush akaenda kushinda urais na kuwa a two term president!
hawa watu mbona wanasifa za kutisha tisha lakini wanaishi na kufa tu kama watu wakawaida🤔🤔🤔🤔
 
Unaweza kututhibitishia ukweli wa tukio hilo ?
Real people have lost their relatives and friends in those ships, and before accidents the ships were communicating with the authorities controlling marine traffic.

Tracking devices lost signals around that area, what proof do you want?
If you are not satisfied with that evidence then show us your counter example proof.
 
mabilionea wa dunia hii eti utajiri sio wao ni wamechaguliwa tu kusimamia kwa niaba ya familia chache tajiri...
 
Back
Top Bottom