Hiyo ya Michelle Obama hata mimi ilinishangaza sana. Conspiracy theories za ajabu kwangu ni;-
1. Eminem amefariki toka mwaka 2006 kwa drug overdose. Huyu tunayemuona sasa ni clone tu.
2. Paul McCartney amefariki toka mwaka 1967 kwa ajali ya gari. Huyu tunayemuona sasa sio mwenyewe.
3. Baadhi ya watu maarufu ni mijusi kiuhalisia na wala si binadamu.
4. WaIran ndio waliomuua Michael Jackson ili kuhamisha attention ya dunia ambayo ilikuwa inafuatilia ghasia za baada ya uchaguzi wa mwaka 2009.
5. Finland haipo.
6. Robert De Niro ndie aliyempiga risasi Malala Yousafzai.
7. Ile ndege ya Malaysia MH370 iliyopotea March 2014 ndio MH17 iliyodunguliwa kule Ukraine.
Sent using
Jamii Forums mobile app