What happened to Eliud Kipchoge?

What happened to Eliud Kipchoge?

Dah baadhi ya wabongo mna wivu kupindukia. Eti leo mnambeza Eliud kisa eti hakushinda? Alafu wakati alipovunja ile rekodi ya INEOS 1:59 hamkumpongeza. Tena yupo kwenye Top 10, nafasi ya 8 na muda wa 2:05:41, kwenye mbio ambazo hakuna mwanariadha aliyenusia rekodi yake ya 02:01:59(official). Hata bila majeraha kwenye michezo performance ya mtu kubadilika ni jambo la kawaida, acheni huo uchawi wenu.
Wote tulitegemea angeshinda kutokana na rekodi yake ilivyonzuri, kushika nafasi ya 8 kwa mtu kama yeye ni jambo la kushitusha na kusikitisha Sana, tunashangaa kusikia kuna watu wanatetea "very poor performance from a legendary person like him", wakenya lazima mjifunze kusifia pale penye jambo zuri, na kulalamika pale penye tatizo, sio kila kitu mnasifia hata pesa ya Corona ilivyoibiwa pia mlisifia.
 
Wakenya wana makorona ndio maana hawapo kwenye domination, Ethiopia wapo vizuri
Mbona hatuwaoni wanariadha wa Tanzania na N.Korea(nchi mbili duniani ambazo 'hazina' corona) kwenye Top 10, 20 au hata Top 100? [emoji1] Meanwhile kwa kina dada mkenya Brigid Kosgei, ambaye ndiye aliyeshinda mwaka wa 2019, aliibuka wa kwanza kwa mara ya nne kwenye London Marathon. Tena aliwaacha wanariadha wengine wote nyuma na mwanariadha wa pili alimaliza mbio dakika 4 baada ya Brigid. Mkiona [emoji1139][emoji1139][emoji1139] muwe mnashika adabu zenu tafadhali.
40b873d8592745e96b85d8801a0f5dd4
 
Mbona hatuwaoni wanariadha wa Tanzania na N.Korea(nchi mbili duniani ambazo 'hazina' corona) kwenye Top 10, 20 au hata Top 100? [emoji1] Meanwhile kwa kina dada mkenya Brigid Kosgei, ambaye ndiye aliyeshinda mwaka wa 2019, aliibuka wa kwanza tena kwa mara ya nne kwenye London Marathon. Tena aliwaacha wanariadha wengine wote nyuma na mwanariadha wa pili alimaliza mbio dakika 4 baada ya Brigid. Mkiona [emoji1139][emoji1139][emoji1139] muwe mnashika adabu zenu tafadhali.
40b873d8592745e96b85d8801a0f5dd4
Sisi hatupo katika riadha, huko tumewaachia ninyi, kama ambavyo ninyi hampo katika music & film industry.

Jambo la kushanga ni kwamba, hakuna mtanzania anayedai kuhusika kwa aina yoyote katika kuchangia mafanikio ya wanariadha wa Kenya, ila utasikia wakenya wakidai kuhusika au hata kusema " Bila wakenya bongo musicians wasingefanikiwa.
 
Wote tulitegemea angeshinda kutokana na rekodi yake ilivyonzuri, kushika nafasi ya 8 kwa mtu kama yeye ni jambo la kushitusha na kusikitisha Sana, tunashangaa kusikia kuna watu wanatetea "very poor performance from a legendary person like him", wakenya lazima mjifunze kusifia pale penye jambo zuri, na kulalamika pale penye tatizo, sio kila kitu mnasifia hata pesa ya Corona ilivyoibiwa pia mlisifia.
Sasa ndio tumponde kama mnavofanya nyinyi kisa kashika nafasi ya nane? Huo ni upumbavu. Cha muhimu ni apewe motisha wa kurudi kwenye form yake ya kawaida baada ya majeraha. Maanake bado anashikilia rekodi ya dunia. Kama mnatafuta kisingizio cha kulialia, mna nchi yenu na wanariadha wenu. Lalamikeni kuhusu kuzembea kwa wanariadha wenu, sio mnaibuka na domo domo zenu zisizoisha kisa wanariadha wa Kenya.
 
Mi mwenyewe Macho yangu yalikuwa kwa kipchoge mwanzo mwisho iliniuma alivyoshindwa na yule muethopia[emoji21]
 
Sasa ndio tumponde kama mnavofanya nyinyi kisa kashika nafasi ya nane? Huo ni upumbavu. Cha muhimu ni apewe motisha wa kurudi kwenye form yake ya kawaida baada ya majeraha. Maanake bado anashikilia rekodi ya dunia. Kama mnatafuta kisingizio cha kulialia, mna nchi yenu na wanariadha wenu. Lalamikeni kuhusu kuzembea kwa wanariadha wenu, sio mnaibuka na domo domo zenu zisizoisha kisa wanariadha wa Kenya.
Hakuna mtu aliyemponda, mleta mada aliuliza kwa mshangao kwamba kipi kilichomkuta huyu jamaa kushindwa vibaya?, kama mngekua honest people" mngesikitika na kuonyesha kufedheheshwa na hayo matokeo, badala yake mnatetea kwa kutoa sababu za kipumbavu. Tabia hii ya wakenya kutetea makosa ili Kumlinda mtu aliyefanya makosa ndio chimbuka kubwa la impunity na rushwa huko Kenya" He is targeted because of his tribe".
 
Mbona hatuwaoni wanariadha wa Tanzania na N.Korea(nchi mbili duniani ambazo 'hazina' corona) kwenye Top 10, 20 au hata Top 100? [emoji1] Meanwhile kwa kina dada mkenya Brigid Kosgei, ambaye ndiye aliyeshinda mwaka wa 2019, aliibuka wa kwanza kwa mara ya nne kwenye London Marathon. Tena aliwaacha wanariadha wengine wote nyuma na mwanariadha wa pili alimaliza mbio dakika 4 baada ya Brigid. Mkiona [emoji1139][emoji1139][emoji1139] muwe mnashika adabu zenu tafadhali.
40b873d8592745e96b85d8801a0f5dd4
Kipchoge leo amekimbia bila kutumia visisimua misuli kama kawaida ya wakenya wengi
 
Shida ya sikio ikawa shida ya miguu!!??.

Hearing and running what is relevance ??
Kweli we choka, sikio lako lishwai ziba ghafla hata kw dakika moja...
Tena kipchoge ni jasiri, emu jaribu lizime wewe kw siku uone km utakula kw raha zako
 
Wewe unataka kubishana na mtu aliyeziba sikio moja la kushoto kwa takriban mwezi mmoja???--- mimi nimepata kuziba sikio la kushoto takriban mara 3 kwa nyakati tofauti na mara ya tatu kama miezi mitatu iliyopita liliziba kwa karibu mwezi mzima na hii ilitokana na kutumia cotton bud baadaye nilidondoshea Boric acid na tena nikasafisha kwa kutumia Cotton bud hapo ndipo likaziba kabisa, likazibuka lenyewe baada ya takriban mwezi mmoja. Katika siku zote hizo nilifanya kazi zangu zote za miguu na mikono kama kawaida na hakuna mtu aliyejua isipokuwa nimuambie.

Kipchoge angetoa sababu nyingine mfano Muscle grip au maumivu ya mbavu au kichwa nk, lakini sio sikio kuziba iwe ni sababu ya kushindwa mbio, sasa kama angefukuzwa na simba je angeshindwa kukimbia sababu ya sikio kuziba??--- yaani ajeruhiwe na simba halafu aseme alishindwa kukimbia sababu sikio liliziba??!!.

Kuna sababu nyingine wala sio kuziba sikio.

Watu wenye akili tumeng'amua wasio na akili hufuata dogmatically.
 
Wabongo na wivu dhidi ya Kenya.

Uongo mmezidisha, acheni uongo.
Inawezekana vipi kuziba sikio kuhusiane na miguu??, angesema labda kichwa kilimuuma kwa ghafla kiasi fulani ningekubali.

Mtu unapoamua kudanganya tafuta UONGO unaingia akilini.

Huyo mtu wenu hakutumia PED, aliogopa kunaswa.-- mseme kweli tu.🤣
 
Sasa unajuaje km hyo ndio mara yake ya kwanza, acheni kuwehuka wivu wala hautokupeleka kokote kule
 
Hata iwe mara yake ya kwanza, kuziba kwa sikio hakuhusiani na kukimbia, kama angalikuwa ni footballer hapo kungekuwa na logic kwasababu filimbi ni lazima footballer asikie au angesingizia macho kuziba 🤣.

Nyie akili zenu ni ndogo na mnataka na wengine wawe kama nyinyi.

An ear blockage has nothing to do with sprinting.
 
Uongo mmezidisha, acheni uongo.
Inawezekana vipi kuziba sikio kuhusiane na miguu??, angesema labda kichwa kilimuuma kwa ghafla kiasi fulani ningekubali.

Mtu unapoamua kudanganya tafuta UONGO unaingia akilini.

Huyo mtu wenu hakutumia PED, aliogopa kunaswa.-- mseme kweli tu.🤣
The whole list still constituted Kenyans and Ethiopians bruh. No single Tanzanian. MEZA HIYO.
 
We are not talking of number of participants and their respective countries in the race,, we are talking about the inconceivable lie fabricated by your athlete that due to a ear blockage he lost the race, had he fabricated that one of his nostril blocked during the race I would have agreed with him, as the blockage leads to suffocation and poor breathing which has got something to do with sprinting.

Frankly speaking, I'm not jealous against kenyans athletes of whom I feel proud as my fellow East africans who whenever they won international competitions the name East Africa is mentioned vis a vis Kenya.
 
Are you him? What do you know of marathons? If it was an Ethiopian who had said that would you be disagreeing like this? Dude, Eliud has nothing to prove to this world, he has already proved himself as the greatest marathoner of all times. Stop having so much hate against your neighbors.

Secondly, you obviously don't know anything about athletics (since your country sucks at them). The ear is responsible for the balancing of your body and a blockage can have dire effects on your performance in sports - that's the reason a good punch in the ear in boxing almost always leads to a knockout. A blocked ear causes dizziness and muscle cramps due to over-relying on your eyesight and muscles for balance. Any other person would have dropped out but Kipchoge soldiered on and completed just a couple of seconds behind the winner which is commendable and here you are all slandering him just because he is Kenyan and you hate Kenya. See yourselves.
 
No body needs to know anything about marathon what the world is interested is to know who is a winner, we are not here to entertain your stupid excuses after humiliation defeat of Kipchoge. There is no any medical reason which supports his excuses, he has been defeated like any other person, he needs to go back to strategize for the next competition.
 
Are you him? What do you know of marathons? If it was an Ethiopian who had said that would you be disagreeing like this? Dude, Eliud has nothing to prove to this world, he has already proved himself as the greatest marathoner of all times. Stop having so much hate against your neighbors.

The same question to you; are you him??,, because you advocate him regarding the case from your own perspective and I oppose him from my own perspective, if you have a right in this case I also have one otherwise you have no right to condemn me, you keep silence and so I will do.

All in all, there is no link whatsoever between an ear blockage and sprinting. It is a shame for a great sprinter like him to lie. that's my take and no hate.
 
Back
Top Bottom