Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Ndio, tunataka kujua kama mmeamua kuacha kwenda bar kwa maana chupa 2 mbili tu kwa kila siku 364 za mwaka mzima sio chini ya 500,000 kwa mwaka.
Ndio, tunataka kujua kama mmeamua kuacha kuchukua wale mademu wa Telegram kwa maana demu mmoja tuseme 30,000 mara tatu kwa mwezi ni sawa na 90,000 kwa mwezi mzima. 90,000 mara miezi 12 ni sawa na 1,080,000 ya kuruka sarakasi.
Ndio, tunataka kujua kama mmeacha kulipa kifurushi cha mpira cha DSTV kile cha 64,000. 64,000 mara miezi 12 ni sawa na 768,000.
Ndio, kwa vile bando zimepanda bei tunataka kujua kama mmepunguza kuangalia makalio makubwa instagram na porno za x.videos. tuseme kwa siku unataumia 1000. 1000 mara 364 ni sawa 364,000 which may increase pale utakapoopoa kimada anayejifanya model mtandaoni, then unamtumia nauli atoke dar akufate tandahimba.
ACHENI UKUDA, NJAA ZENU NI ZENU.