What should I do?

Nilishawahi kufanya hivyo, kanisani kuna wanafโ€™ki balaa[emoji706][emoji174]
Kwakua unataka networking ya maisha Unafiki wa mtu au urafik wa dhat SI muhimu,ukumbuke lengo ni wao kuwa kama daraja,ama kivuli Cha wEw kufika mahali Fulani na sio kuwaweka karibu mwshowe utaelewa Nan mkwel Nan muongo,then utachagua wakuwaweka karibu na wengine wanabaki kama supporting system

Sent from my TECNO LE6 using JamiiForums mobile app
 
Hata 90 hawajafika babe, soma vizuri.
Wako wangapi mkuuโ€ฆ

Wewe kuweka hio number means inakaribia na hao lol

Mimi naona tatizo lako liko kny communication skills zaidi, wewe kukaa na simu bila kupigwa hilo ni Tatizo, Hujui to interact na hao marafiki wachache Ulio nao, anza Leo kupiga simu na wewe utapigiwa, ukianza kuinteract na hao marafiki 20 ulionao ndio wataku introduce you kwa marafiki wengine 20 Ila ni juu yako to keep fire burning/ to keep communicating with them
 
Can you all imagine sina hata watu 90 kwenye mzunguko wangu wa maisha.
90??? Mbona ni watu mob sana hao?

Nadhani circle yangu ni ndogo kuliko yako, but Am glad ni very potential...

Yan nikiwahesabu watu wangu wa karibu hawavuki 50 na maisha yako zake yanaenda.

Yan macho huhitaji watu elf 1000 ktk circle yako ndo uone una watu, unaweza kuwa na watu elf 9 na wakawa pale km midoli tu. Ya nn sasa??
 
Marafiki ndio kabisa sina, napitia changamoto nyingi sana sina hata mtu wa kuongea nae au wa kunipa mawazo tofauti ili niweze kuwa sawa kwa kiasi fulani. Simu yangu inaweza isipigwe kwa muda hata wa siku tano๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”.
Lete namba tukupigie. Simu kutokupigwa sku 5 hiyo ni balaa. Huna BF, huna friend? Unamliliaga nani stress zzako? Huna hata wawili?? Girl unaweza kuwa tatizo, jichunguze.
 

Niongeze ktk circle yako, karibu pm
 
Karibu uwe rafiki yangu
Lolote linalokusibu utakuwa huru kushare na mimi.


Jitahidi kujichanganya kwenye magroup ya biashara ya Facebook
Huko utapata watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ