Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naomba sampo ya Depal kama wote hivi😆😆😆😆
Kuna wa aina tofauti tofauti ni wewe tuu
wengine ni ndugu zetu hatuwezi kuwatupa tunawsikitikia tu
😂 😂 au ni bora nikacheze napochezagaWanitafutia lawama
Depal embu mwambie buanaaa😂😂
upo sahihi as long ni mtu mzima na maisha yake atajua mwenyeweMaisha ni kuchagua.
Kwakua unataka networking ya maisha Unafiki wa mtu au urafik wa dhat SI muhimu,ukumbuke lengo ni wao kuwa kama daraja,ama kivuli Cha wEw kufika mahali Fulani na sio kuwaweka karibu mwshowe utaelewa Nan mkwel Nan muongo,then utachagua wakuwaweka karibu na wengine wanabaki kama supporting systemNilishawahi kufanya hivyo, kanisani kuna wanaf’ki balaa[emoji706][emoji174]
Wako wangapi mkuu…Hata 90 hawajafika babe, soma vizuri.
90??? Mbona ni watu mob sana hao?Can you all imagine sina hata watu 90 kwenye mzunguko wangu wa maisha.
Acha kuringa utatoboa wallahMimi ni aina ya wale watu ambao napata shida ku interact na watu, ni ngumu sana kumzoea mtu, siwezi kukaa kwenye mkusanyiko wa watu wengi
Nge!!! Nge!!! Nge!!! Nge!!! Nge!!! Nge!!!Boyfriend hapana, wanani heartbreak sana nakuwa sina hata amani ya kuwa kwenye mahusiano.
Lete namba tukupigie. Simu kutokupigwa sku 5 hiyo ni balaa. Huna BF, huna friend? Unamliliaga nani stress zzako? Huna hata wawili?? Girl unaweza kuwa tatizo, jichunguze.Marafiki ndio kabisa sina, napitia changamoto nyingi sana sina hata mtu wa kuongea nae au wa kunipa mawazo tofauti ili niweze kuwa sawa kwa kiasi fulani. Simu yangu inaweza isipigwe kwa muda hata wa siku tano😂💔.
Hellow Guys!
Hope mnaendelea vizuri.
It’s “Ms Eyes” again.
Sorry naombeni ushauri ni kwa namna gani naweza kuongeza idadi ya watu as you all know dunia ya sasa hivi bila connections ni ngumu sana kutoboa na hizo connection huwa zinatoka kwa watu. Can you all imagine sina hata watu 90 kwenye mzunguko wangu wa maisha.
Mimi ni aina ya wale watu ambao napata shida ku interact na watu, ni ngumu sana kumzoea mtu, siwezi kukaa kwenye mkusanyiko wa watu wengi. Mara nyingi huwa nipo ndani haswa kama sina shughuli ya kufanya kwa siku hiyo au wakati huo.
Napata shida sana haswa kwa kipindi hichi ambacho nahitaji kazi, nilijaribu kufanya biashara ya kukopesha lakini sikuiweza kwasababu huwa sipendi kuongea na kugombana na watu, hata hivyo nilikuwa napata wakati mgumu kwasababu sikuwa na watu wengi wa kuwatembezea bidhaa zangu.
Marafiki ndio kabisa sina, napitia changamoto nyingi sana sina hata mtu wa kuongea nae au wa kunipa mawazo tofauti ili niweze kuwa sawa kwa kiasi fulani. Simu yangu inaweza isipigwe kwa muda hata wa siku tano[emoji23][emoji174].
NIKO HAPA KUPOKEA USHAURI WENU WAKUU. Ningependa kupewa majibu positive ili nisiendelee kuvunjika moyo though kuna watu wapo watanijibu negative.
HAPPY ENDING WEEKEND Y’ALL.[emoji7]
Karibuni!
Karibu uwe rafiki yanguHellow Guys!