Yeah it's not new Ni km Jesus alivyoambiwa na devil kuwa ukiniamini then kila kitu cha dunia hii kitakuwa chako....and Yesu aksema NO!Na wasanii ws Tz wawe makini sana,hasa wale wapenda tuzo na umaarufu wa dunia nzima ,yani mtu kuwa followed na obama anahesabu kama ni mafanikio makubwa sana kwake siku akialikwa huko sidhani kama atachomoa.
"Mwenye kuipenda dunia kumpenda Mungu hakumo ndani mwake"
Itakusaidia nini kuipata dunia nzima huku ukiipoteza nafsi yako.
Na zile t-shirts zao yee.....zinanikera ka nini
Nimeshajua unawaza niniMaskini kanye
Wanachokifanya kuanza kukuharibu endapo utaenda tofauti na matakwa yao.Hivi nini kinaendelea?
ni mental issues au kuna mengine?
nimeona kuna watu wanahusisha na Illuminati....
nimeona clip ya DMX....
Kanye West ana tatizo gani hasa?
Paulo Sergio De Souz Nyani Ngabu
BAK
FactsFreemason is directly involved, when he ignored his show n diss MTV and other radio, Beyonce, Jay z..he said " I know this gonna cost me, my family, my life and my entire carrier but I got this, MTV f*** u, radio f****" then he moved out of platform, then after we started to hear that kanye has undergone mentally disorders... Some American artist make a jokes out of it as they know what is goin on... Yesterday tweet from wizkhalifa is a kinda joke to him " he just need weeds that's it" said wizkhalifa..... Freemason **** tha hell out of yow, leave kanye alone pal, this is a fucking organization n may God punish you [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119]Hapo hamna chochote zaidi ya illuminants wanataka kumla kwa kukosea masharti. Anayesema hakuna freemason pole sana, ila ukweli wapo na huyo Kanye West ni mwanachama mzuri tu, wewe subiri ifike siku moja kabla ya pasaka, kwenye black mass wanakula huyo.
Hapa ndipo huwa nashindwa kuelewa haya mambo ya illuminati."I sold my soul to the devil;that's a crappy deal
Least it came with few toys like a happy meal" eyes closed by kanye west.. so jamaa design kama aliwavunjia heshima kwenye ile show wakati alisha wauzia roho n wao wakampa fame
Huamini vp story za freemason?intresting...
sijui why huwa siamini hizi habari za freemason..
Ujue shetani ana miliki kila kitu duniani na hupenda kutumia watu wasanii maarufu Ku change minds za wengi, hata shetani alivo mjaribu Yesu alimwambia akikubali kumsujudia atampa miliki yote ya ulimwengu.Hapa ndipo huwa nashindwa kuelewa haya mambo ya illuminati.
Mtu anauzaje roho yake in exchange ya fame?
Na je ina maana muhusika hafanyi kazi kwa bidii ili afanikiwe?
Yani analala tu, illuminati wanamfanyia kila kitu?
Na illuminati wao wanapata faida gani hasa? SMH
Ha ha ha nini hicho?Nimeshajua unawaza nini
Mimi navyojua mambo kumnyookea mtu siri ni kujituma, kufanya kazi kwa bidii, kuwa creative etc.Ujue shetani ana miliki kila kitu duniani na hupenda kutumia watu wasanii maarufu Ku change minds za wengi, hata shetani alivo mjaribu Yesu alimwambia akikubali kumsujudia atampa miliki yote ya ulimwengu.
So msanii akijitoa tu mambo yatamnyookea maana kuanzia media zitampa coverage, madeal makubwa ya hela kuwa balozi ndo vinawatajirisha.
Unafikiri wasio fanikiwa huwa hawafanyi kazi kwa bidii, punda mwenyewe huenyeka sembuse binadamu. In short duniani MTU akizaliwa huanza kupambana till death sema level kutofautiana, wako wanaofanikiwa ki halali, pia wapo wanaofanikiwa kikona kona, hata kujiunga na magroup ya secret society nayo ni kazi ngumu maana maagano yake si mchezo.Mimi navyojua mambo kumnyookea mtu siri ni kujituma, kufanya kazi kwa bidii, kuwa creative etc.
Yani mtu ajiunge illuminati tu awe famous na tajiri bila yeye kujituma na kufanya kazi kwa bidii?
Na kama ndo hivyo basi watu wengi wangekuwa matajiri hapa duniani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Alishaambiwa akanye west yeye kagoma akanya east sasa hakuna namna lazima akayazoe
....so as GOD and lucifer stories.... per your views.Most of these illuminat stories are fabricated, kanye has mental problems nothing else!