class75
Member
- Sep 11, 2017
- 72
- 138
Hizo muvi zinaita "pilau" mkuuOh no oh yes go deeper harder..... Nimesahau jina la movie ila
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo muvi zinaita "pilau" mkuuOh no oh yes go deeper harder..... Nimesahau jina la movie ila
Hahaa umenkumbusha huyu jamaa'dont tell me what i cant do" locke in lost
very true mkuu hz muvie za madrug dealer walivokua wanafanikiwa ni coz ya kuishbna watu vzr1. “ Gentlemen, My name is Pablo Emilio Escobar Gaviria and one day i will be the President of Colombia “
[emoji1426]I love that scene wit passion Pablo Escobar alivyo intimidate mapolisi wa Medellin kwenye boarder.
2. “ You have never invited me to your home for a cup of coffee and now you come to me and say Don Corleone give me justice. But you don’t ask with Respect, You dont even think to call me Godfather “
Don Corleone, The Godfather.
[emoji1426]This movie teaches a lot in street smartness mostly in business and namna kuishi na watu vizuri kutakufikisha mbali.
very true mkuu hz muvie za madrug dealer walivokua wanafanikiwa ni coz ya kuishbna watu vzr
Series,the last shipMuvi gani hii mkuu
Ngoja niidownloadHahahah
Sio mkuu ni mark whelberg kwenye muvi ya shooterAliyesema hayo maneno ni John wick sio ah?
Captain philips aliwaambia mabaharia wenzake "we know the ship.........they don't"“ you giving me $ 20,000 who u think i am ?? A beggar ?? “
“ I am the captain now “
[emoji1426]Captain Phillips : Msomali flan haramia aliiteka meli ya wamarekani akawa anataka mpunga wa ajabu. Movie kali kichz.