WhatsApp, Facebook na Instagram zatoweka hewani Oktaba 4, 2021

We babu achana na mambo ya wasap na. Fesibuku, wapigie hadithi wajukuu kabla hawajalala, ebooooo
Nilikuwa natongoza kajukuu kapya nashangaa hakanijibu nikituma msg naona haziendi. Nikadhani kamenibloku asee...

Kuja kubaini naona hakuna msg toka magrupu yote. Nikaanza kurestart, nikaona isiwe tabu nikachomoa betri kabisa... hola....! Almanusura niibamize simu ukutani asee...

Ashukuriwe mleta mada kwa kuiokoa simujanja yangu pendwa

Mungu amwongezee umri mara 200
 
Kwa Hizi Kelele za Kulilia WhatsApp Inaonekana Watanzania Wengi Kipaumbele Chao ni Mitandao Na Wala Sio Katiba Mpya [emoji23][emoji23]
 
Ahsante
Alafu hata sikuwaza hilo.

Vile information nyingi hasa za kazini tunapata via wasap group nikajikuta na concentrate huko yaani
Hehehe kale kagrupu ketu naona wajumbe wanarudi JF kwa amani na upendo...
 
Kuzimika kwa mitandao kunatukumbusha jinsi wanadamu wa sasa walivyo wa pweke, mtu kazungukwa na watu lukuki , hawezi kuongea nao hata kwa dakik 10 , lakini muda wote yupo ku interact na strangers mitandaoni
 
Habari za usiku wadau?!!

Mkoa niliopo hakuna mawasiliano ya WhatsApp, Instagram na social network zote maarufu,hii imetokea tangu saa 12 na nusu!!!

Kwa wale wafuatiliaji wa mambo mtakumbuka kua miezi kadhaa iliyopita serikali kupitia TCRA ilizima na kuzuaia websites zote za kikubwa ambazo huonyesha maudhui ya ngono na hadi leo hawajatoa tamko,je wamehamia na kwenye social network?!!
 
Kwa hiyo wamezima kwanza ndio wakatoa taarifa au walitoa kabla?.
 
Apo ndo utajua America Ni superpower

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
tupo telegram kwa raha zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…