Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Nilikuwa natongoza kajukuu kapya nashangaa hakanijibu nikituma msg naona haziendi. Nikadhani kamenibloku asee...We babu achana na mambo ya wasap na. Fesibuku, wapigie hadithi wajukuu kabla hawajalala, ebooooo
Kuja kubaini naona hakuna msg toka magrupu yote. Nikaanza kurestart, nikaona isiwe tabu nikachomoa betri kabisa... hola....! Almanusura niibamize simu ukutani asee...
Ashukuriwe mleta mada kwa kuiokoa simujanja yangu pendwa
Mungu amwongezee umri mara 200