WhatsApp, Facebook na Instagram zatoweka hewani Oktaba 4, 2021

WhatsApp, Facebook na Instagram zatoweka hewani Oktaba 4, 2021

Na WhatsApp je?!! Mkoa niliopo hata WhatsApp ngoma haifanyi kazi tangu saa 12 unusu!!

Nimejaribu kutumia laini zangu za kampuni 3 tofauti na zote zimegoma!!

Ila JF kama hivi mwendo mswano
WhatsApp na Instagram zinamilikiwa na Facebook.
 
Habari za usiku wadau?!!

Mkoa niliopo hakuna mawasiliano ya WhatsApp, Instagram na social network zote maarufu,hii imetokea tangu saa 12 na nusu!!!

Kwa wale wafuatiliaji wa mambo mtakumbuka kua miezi kadhaa iliyopita serikali kupitia TCRA ilizima na kuzuaia websites zote za kikubwa ambazo huonyesha maudhui ya ngono na hadi leo hawajatoa tamko,je wamehamia na kwenye social network?!!
Mibongo mnapenda kuishi kwa kujishuku shuku muda wote
 
Habari za usiku wadau?!!

Mkoa niliopo hakuna mawasiliano ya WhatsApp, Instagram na social network zote maarufu,hii imetokea tangu saa 12 na nusu!!!

Kwa wale wafuatiliaji wa mambo mtakumbuka kua miezi kadhaa iliyopita serikali kupitia TCRA ilizima na kuzuaia websites zote za kikubwa ambazo huonyesha maudhui ya ngono na hadi leo hawajatoa tamko,je wamehamia na kwenye social network?!!
Hawana huo uwezo...ni wamiliki wenyewe wana hitilafu...ingia ktk browser itapata taarifa kuwa wana hitilafu wao...
 
View attachment 1962921Hapa ndo naungana na wasema ukweli hakuna jaribio la serikali kuzima mtandao bali ni Dunia nzima hata ambao hawako Tz they experience the same problem

B4754B0B-DC08-496E-BE5A-232A2F0934FE.png
 
Back
Top Bottom