WhatsApp, Facebook na Instagram zatoweka hewani Oktaba 4, 2021

WhatsApp, Facebook na Instagram zatoweka hewani Oktaba 4, 2021

Soon wanazirudisha kweny hali ya kawaida wanafanya marekebisho na kuboresha apps hizo washatoa tangazo
Mi naona wanazuga tu. Kwanini wasifanye mojamoja. Haiingii akilini ku-shut down platform zote 3. Na siamini kama zote ziko kwenye base au mfumo mmoja kiasi kwamba huwezi ukai-service separately.
 
Jamaa zetu kama kawaida wameshaanza kupakaza...wazee wa nongwa,, hahahaha
 
Toka lini wabongo wanachunguzaga mambo wao huwa wanapokea tu kila linalosemwa bila kuchunguza ili wakalete lomoni vijiweni bila stori wabongo hawataweza kuishi so tuvumiliane
 
Kummilikisha mtu mmoja mitandao mitatu mistake

Mark ameifanya hii mitandao kuwa na sheria moja akizima anazima kote

Ni kama serikali ilivyoiminya mifuko ya jamii ikaifanya kitukimoja mwishowe na sheria zimekuwa moja likitokea la kutokea ni kote kote
Ajiandae kulipa mabilioni ya faini,maana Marekani wateja na Serikali hawatakagi upuuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom