WhatsApp, Facebook na Instagram zatoweka hewani Oktaba 4, 2021

WhatsApp, Facebook na Instagram zatoweka hewani Oktaba 4, 2021

Mzawa wetu Maxence Mello angetengeneza social platform kama Watsap tuachane na huu ungese wa mtu mmoja kutusumbua dunia nzima
 
Aisee, nilikuwa na update hizi app, mara naambiwa simu yako tarehe haiko sawa irekebishe. Nikiangalia naona muda ni ule ule wa +3GMT.....!!!!
 
Kila nikituma msg haziendi nikiwa bado nahangaika nikazima wapi
Bahati mwanangu akanipigia na kuniambia Baba unahangaika na mtandao?
Nikamwambia umejuaje [emoji23][emoji23] akaniambia ni dunia nzima daa
Huyo mwanao mjengee sanamu asee... mo nimerestart mpaka simu imeisha charge
 
Huu ni muendelezo wa kuhamisha umati (kupoteza maboya) kwenye mzozo wao kule Taiwan
Jana Pandora Papers, leo Facebook kesho sijui wataleta nini.

Great thinkers tunataka kujua msimamo wake yeye kama big dog wa dunia ni nini maana mshirika wake kashikwa pabaya huko
 
View attachment 1962921Hapa ndo naungana na wasema ukweli hakuna jaribio la serikali kuzima mtandao bali ni Dunia nzima hata ambao hawako Tz they experience the same problem

View attachment 1962924

Sasa fikiria kwa nini watu wafikirie ni TCRA na si vinginevyo? Upuuzi aliouanza Magu wa kuzimana na mitandao mambo ya giza sana na kuyaacha yanaendelea ndiyo sababu…Hakuna ambaye angewaza hivyo kwenye utawala wa kikwete
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa mujibu wa intelijensia yangu nimepata taarifa kuwa kuna mtu kaingia kalewa ofisini kakojolea servers!,mkojo wake una madini chuma na nuclear power halafu na protein so wanashughulikia vyote viwili..[emoji28]
 
Duh!! Watu wote wamehamia Jf. Zuckebarg aendelee kushikilia tu. Watu waje Jf kupata mawazo mapya.
 
Mimi najua kama net inazingua huku huwa napata shida pia kuingia cha ajabu huku naingia chap ile kwenye mitandao ya mwamba Mark ni msoto kumbe jamaa amesinzia na fegi.
 
Back
Top Bottom