WhatsApp, Facebook na Instagram zatoweka hewani Oktaba 4, 2021

WhatsApp, Facebook na Instagram zatoweka hewani Oktaba 4, 2021

"TUNAUZA NG'OMBE TUPO ARUSHA SING'ISI TENGERU"

BIASHARA ZETU NI ZA ANA KWA ANA NA SIYO MTANDAONI. LAZIMA MTEJA AFIKE OFISINI NA SHAMBANI

(1) Tunao mitamba ambao hawajapandwa ila waweza pandwa muda wowote.

Bei ni kuanzia Tsh 1200000 hadi 1650000 inategemea na mtamba mwenyewe.

(2) Pia mtamba mwenye mimba kuanzia miezi mitatu (3) hadi miezi sita (6) ni Tsh 1500000 hadi 1800000.

(3) Pia tunao ng'ombe walio zaa mara moja mara mbili na mara tatu ambao wanakamuliwa maziwa kuanizia liter 16 adi 22 inategemea na ng'ombe mwenyewe bei zao ni kuanizia Tsh 1700000 hadi 2000000.

(4) Na pia kwa wale wanao itaji ndama madume pamoja na majike wanapatikana kuanzia umri wa miezi minne adi sita kwa bei kuanzia Tsh 650000 hadi 850000.

KAMA KAMPUNI GARAMA ZA USAFIRISHAJI KWA KIWANGO NA MTEJA KUTEGEMEA NA ENEO ALILOPO KARIBU SANA UPATE NG'OMBE WAZURI KWA UZALISHAJI

Wasiliana nasi kwa simu kwa namba

0759926750
Nitakucheki......
 
Habari za usiku wadau?!!

Mkoa niliopo hakuna mawasiliano ya WhatsApp, Instagram na social network zote maarufu,hii imetokea tangu saa 12 na nusu!!!

Kwa wale wafuatiliaji wa mambo mtakumbuka kua miezi kadhaa iliyopita serikali kupitia TCRA ilizima na kuzuaia websites zote za kikubwa ambazo huonyesha maudhui ya ngono na hadi leo hawajatoa tamko,je wamehamia na kwenye social network?!!

Hawa ni ma IT uchwaraa wa Tanzania
 
Safi kwa taarifa, ndiyo maana naona simu yangu hapa inazunguka tu muda wote
 
Back
Top Bottom