The real Daniel
JF-Expert Member
- Jan 5, 2017
- 2,117
- 7,899
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀Hapana sithubutu. Ushasahau limbwata nilikuletea mwenyewe?
Hii addiction mbaya sana. Masaa mawili tu watu wamechoka.
Kuna grupu la michango ya harusi, namwonea huruma mweka hazina...
Ni ugaidi ama????Au tatizo hili ninalo mimi tu?
Tupieni VPN
twitter vp??Wakuu whatsapp na instagram zinafanya kazi?
======
Popular social media platforms, including Facebook, Instagram and WhatsApp, were offline Monday during what appeared to be a widespread outage affecting users across the world.
Duh!! Watu wote wamehamia Jf. Zuckebarg aendelee kushikilia tu. Watu waje Jf kupata mawazo mapya
Aisee vp kwenye Pandora papers Bongo tumetoboa, maana sijafuatilia vizuri. Uhuru hajatoboa naona kimeumana na Pandora. Tuone wakenya sasa!!!Huu ni muendelezo wa kuhamisha umati (kupoteza maboya) kwenye mzozo wao kule Taiwan
Jana Pandora Papers, leo Facebook kesho sijui wataleta nini.
Great thinkers tunataka kujua msimamo wake yeye kama big dog wa dunia ni nini maana mshirika wake kashikwa pabaya huko
[emoji28][emoji28][emoji119]Ila kweliii
Then, watasema tujaze code ya 666 ili kufungua apps[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] watakuwa wanaingiza virusi vya Corona kwenye hizo apps watuue waafrika (joke)
Sasa Magu kaingiaje APA,!?Sasa fikiria kwa nini watu wafikirie ni TCRA na si vinginevyo? Upuuzi aliouanza Magu wa kuzimana na mitandao mambo ya giza sana na kuyaacha yanaendelea ndiyo sababu…Hakuna ambaye angewaza hivyo kwenye utawala wa kikwete