WhatsApp, Facebook na Instagram zatoweka hewani Oktaba 4, 2021

Mimi nime-restart zaidi ya mara 10 daadeq...

Kila nikituma msg haziendi nikiwa bado nahangaika nikazima wapi
Bahati mwanangu akanipigia na kuniambia Baba unahangaika na mtandao?
Nikamwambia umejuaje [emoji23][emoji23] akaniambia ni dunia nzima daa
 
Kosa kubwa sana kummilikisha mtu mmoja mitandao yote 3

Matokeo take ndio haya ni sawa na ttcl iimeze tigo na voda

Or kama serikali ilivyomeza mifuko yote ya hifadhi ya jamiii

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Ni kweli, hili ni tatizo la kampuni moja kumiliki hizi app kuu. But nimeona viongozi wa marekani wanakuna vichwa ku-regulate giant tech companies. Na hili tukio ndio lita-propel vizuri nia yao. Wengi hatujui hii fact kwamba ukipewa product for free basi ujuwe wewe ndiyo product. Facebook, Whatapp, na Instagram, etc.... sisi ndiyo product.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…