WhatsApp, Facebook na Instagram zatoweka hewani Oktaba 4, 2021

Hii addiction mbaya sana. Masaa mawili tu watu wamechoka.

Kuna grupu la michango ya harusi, namwonea huruma mweka hazina...

Wee acha tu
Mazoea yana tabu yaani kutumia direct line huwa nasahau kabisa nimezoea Whatsaap tu
Sasa leo ni mwendo wa Simu za kawaida tu
Ila huyo muweka hazina mbona yamemkuta [emoji24][emoji24]
 
Sio Tz tu, hata hapa Washington karibu na whitehouse na ss tunapata tabu
 
Wakuu whatsapp na instagram zinafanya kazi?

======

Popular social media platforms, including Facebook, Instagram and WhatsApp, were offline Monday during what appeared to be a widespread outage affecting users across the world.
twitter vp??
 
Nimeshauriwa na jamaa angu nisajili line za halotel. Nimerudi nikakuta mtandao umezingua. Natukanwa wanadhani mi ndo nimeloga
 
Kijana wa 80's anaisimamisha dunia kwa masaa kadhaa.
Sasa yule waziri aliyesema wanataka waanze kuwatoza kodi bwana Mark akiamua kutuzimia kwa makusudi itakuwaje!
 
Duh!!
Duh!! Watu wote wamehamia Jf. Zuckebarg aendelee kushikilia tu. Watu waje Jf kupata mawazo mapya

Aisee vp kwenye Pandora papers Bongo tumetoboa, maana sijafuatilia vizuri. Uhuru hajatoboa naona kimeumana na Pandora. Tuone wakenya sasa!!!
 
Sasa fikiria kwa nini watu wafikirie ni TCRA na si vinginevyo? Upuuzi aliouanza Magu wa kuzimana na mitandao mambo ya giza sana na kuyaacha yanaendelea ndiyo sababu…Hakuna ambaye angewaza hivyo kwenye utawala wa kikwete
Sasa Magu kaingiaje APA,!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…