WhatsApp, Facebook na Instagram zatoweka hewani Oktaba 4, 2021

Na wale fackers wanaojidai wako abroad washaanza kujitokeza eti na hapa Barcelona insta haipatikani.😮😮😮
 
Inawezekana ikawa ni sabotage ili kucheza na hisa za facebook?

Maana tayari hisa za face book zimeshuka kwa 5%
 
Naona msemaji kuu wa serikali katoa tamko.
Amesema serikali inaendelea kuwasiliana uongozi wa juu wa Facebook!!
 
Theluthi mbili za wanadamu wote duniani wameathirika na hili janga.

Na Facebook wameshapoteza dola bilioni 7.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…