WhatsApp, Facebook na Instagram zatoweka hewani Oktaba 4, 2021

WhatsApp, Facebook na Instagram zatoweka hewani Oktaba 4, 2021

Inawezekana ikawa ni sabotage ili kucheza na hisa za facebook?

Maana tayari hisa za face book zimeshuka kwa 5%
 
Naona msemaji kuu wa serikali katoa tamko.
Amesema serikali inaendelea kuwasiliana uongozi wa juu wa Facebook!!
 
upo karibu hapo na mmiliki niongee naye
Niko nae hapa tunarekebisha nyaya moja ya server imezingua kinoma.
tapatalk_880644288.jpg
 
Theluthi mbili za wanadamu wote duniani wameathirika na hili janga.

Na Facebook wameshapoteza dola bilioni 7.
 
Back
Top Bottom