Whatsapp mpya na faida zake

Whatsapp mpya na faida zake

supercharger GT

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2016
Posts
1,017
Reaction score
1,965
Wakuu mmeshindaje? Baada ya kutoka ile safari ya Dar sasa nmerudi mkoani arusha.....leo nikajisikia nimtongoze Marketing officer wetu hapa maana nimesikia yupo single kama miezi miwili baada ya kutendwa na boyfriend wake, nmetumia advantage kuwa huwa ananisifia sana mara nyingi ingawa nahisi sifa zake sio kweli maana anayosema na mimi sina kihivyo nadhani ananipenda.....wakuu kiukweli leo nimeamua kumtongoza rasmi ila majibu yake yananifurahisha na nashukuru whatsapp mpya haitaacha ushahidi kama akinikataa
23c99181c4652810b2432166f2b3dbf4.jpg


Na hapo nimemzidi vyeo vitatu mbele....
 
Kuna feature nyingine mpya ya whatsapp ukidelete chat kuna option ya kudelete na media zote alizokutumia na kwenye gallery zinadisapear
ffc1388e9ee2380ea451424ef73eccc4.jpg
 
Back
Top Bottom