supercharger GT
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 1,017
- 1,965
Wakuu mmeshindaje? Baada ya kutoka ile safari ya Dar sasa nmerudi mkoani arusha.....leo nikajisikia nimtongoze Marketing officer wetu hapa maana nimesikia yupo single kama miezi miwili baada ya kutendwa na boyfriend wake, nmetumia advantage kuwa huwa ananisifia sana mara nyingi ingawa nahisi sifa zake sio kweli maana anayosema na mimi sina kihivyo nadhani ananipenda.....wakuu kiukweli leo nimeamua kumtongoza rasmi ila majibu yake yananifurahisha na nashukuru whatsapp mpya haitaacha ushahidi kama akinikataa
Na hapo nimemzidi vyeo vitatu mbele....
Na hapo nimemzidi vyeo vitatu mbele....