Wewe una utoto mwingi, kuna vitu ukivichukulia kawaida wala havitokuumiza.!!Vipi kuhusu wale message received yani tiki mbili ila haisomi na yupo online? unamchukuliaje mtu wa hivyo.
Hapana kuna kapisi flani yani mnaweza kuchati vizuri mwanzo ila kuna mada ukiingizia hajibu kabisa? sasa najiulizaga shida ipo wapi? na anakua online na status anaviewWewe una utoto mwingi, kuna vitu ukivichukulia kawaida wala havitokuumiza.!!
Mtu km hakujibu muache, labda km unamdai sawa.!!
Kwanza kwann utafute wa kuchat nao maongezi yasiyoisha?? Hamna kazi za kufanya??
Hahahahaha, sawa sawa, watu wanajipa tabu bure kama kaweka pozi na wewe muwekee poziWewe una utoto mwingi, kuna vitu ukivichukulia kawaida wala havitokuumiza.!!
Mtu km hakujibu muache, labda km unamdai sawa.!!
Kwanza kwann utafute wa kuchat nao maongezi yasiyoisha?? Hamna kazi za kufanya??
Ndio maanaSijali.. maana me mwenyewe mzuri tu wa kubluetick nikiona umeni sms kitu sina majibu nacho.
Hahahahaha, sawa sawa mtu akimaindi hii amaindi tuSijali.. maana me mwenyewe mzuri tu wa kubluetick nikiona umeni sms kitu sina majibu nacho.
Watu hawataki kuishi maisha yao. Wanapenda attention, hata uzi wake usipojibiwa humu anaumia kichizi. Akiweka status anaanza kuhangaika kuona nani na nani kaiona. Pumbaavu.Sipendagi kujichosha na vitu visivyo na ishu kwangu, hata hiyo option ya blue tick tu nimeiturn off.....
Tutajie dawa mkuu.Binafsi hainisumbuagi...
Hata wale wenye tabia unamtumia sms anajibu akijisikia...
Dawa yao huwa ninayo....
Nilijua tu.kuna kapisi flani
Sivujishagi silaha za maangamizi kirahisi hivi..Tutajie dawa mkuu.
Inauma balaa πnaweza vumilia yoye ila sio bluetickππ
mnooo yaniInauma balaa π
ππ hadi wewe jamani. Nikikutext leo, ukanijibu jumanne. Sijali, naamini ulikuwa busy, unless otherwise nimerequest oxygen ndio niumieInauma balaa π
Si usubiri atakurudia na kujibu hiyo vipi? ππ mimi sipendi lawama za nimetuma sms umeniblue tick, wee nitablue tick na hizo lawama zenye unanipaNa hii inakuaje , na uhakika huyu kaisoma sms.