WHATSAPP TEXTS: Huwa unachukulia vipi ile situation ya mtu anaku-blue tick alafu hajibu wala kureact chochote?

WHATSAPP TEXTS: Huwa unachukulia vipi ile situation ya mtu anaku-blue tick alafu hajibu wala kureact chochote?

Vipi kuhusu wale message received yani tiki mbili ila haisomi na yupo online? unamchukuliaje mtu wa hivyo.
Wewe una utoto mwingi, kuna vitu ukivichukulia kawaida wala havitokuumiza.!!
Mtu km hakujibu muache, labda km unamdai sawa.!!
Kwanza kwann utafute wa kuchat nao maongezi yasiyoisha?? Hamna kazi za kufanya??
 
Hapana kuna kapisi flani yani mnaweza kuchati vizuri mwanzo ila kuna mada ukiingizia hajibu kabisa? sasa najiulizaga shida ipo wapi? na anakua online na status anaview
 
Sipendagi kujichosha na vitu visivyo na ishu kwangu, hata hiyo option ya blue tick tu nimeiturn off.....
Watu hawataki kuishi maisha yao. Wanapenda attention, hata uzi wake usipojibiwa humu anaumia kichizi. Akiweka status anaanza kuhangaika kuona nani na nani kaiona. Pumbaavu.
Wengine hatuna muda, tunajibidiisha kwenye mambo yenye impacts na maisha yetu. Sasa unakuta mtu kakutumia memez, anataka eti reaction
 
Back
Top Bottom