Rockefeller
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,209
- 2,243
Kiukweli hayo maboresho ulioyasema yana zaidi ya miezi miwili sasa chiefHapana hawakuwa na option ya kuongeza kasi ya kucheza sauti yaani ×1 kasi ya sauti ya kawaida ×1.5 unaongeza kasi pamoja na ×2 .
Pia kutuma ujumbe na kujifuta automatiki hawakuwa nayo.
Kuna siku utakuja tengua kauli yako kijanaMtakubali lini kwamba whatsapp ni whatsapp tu, haina na haihitaji mshindani, au ushabiki lazima?[emoji28][emoji28]. Telegram hata waanze kugawa ubwabwa haiwezi kuizidi Whatsapp bana
Siku ya anguko la facebook sio leo chief!!Kuna siku utakuja tengua kauli yako kijana
Hapana hawakuwa na option ya kuongeza kasi ya kucheza sauti yaani ×1 kasi ya sauti ya kawaida ×1.5 unaongeza kasi pamoja na ×2 .
Pia kutuma ujumbe na kujifuta automatiki hawakuwa nayo.
Watumiaji wa Telegram hizo features tunazo miaka kadhaa sasa na bado mpya zaidi tunazidi kuzipata..Mbona mabadiliko haya ni ya muda sasa.....
Hii kwa namna moja inasaidia sana hasa kwenye business na official issueFeatures hizi zote zimetolewa public miezi mitatu sasa. New feature with couple of days ni uwezo wa kushare jumbe Status.
-
Soon multi device use itatolewa kwa umma mzima, sasa natumia WhatsApp kwenye vifaa vinne.
Nyinyi ndio mnatabia ya kuview hata status tulizo futa.
Na hapo hata security yao (ende-end encryption) itakuwa ndogo sana. Sababu mim naweza jiunga WhatsApp ya mtu mwingine kwenye sim yangu na kuaccess privacy zake zote. Hapo ndoa rehaniSoon multi device use itatolewa kwa umma mzima, sasa natumia WhatsApp kwenye vifaa vinne.
Kwa muktadha huu na Telegram end-to-end encryption ni ndogo sana?Na hapo hata security yao (ende-end encryption) itakuwa ndogo sana. Sababu mim naweza jiunga WhatsApp ya mtu mwingine kwenye sim yangu na kuaccess privacy zake zote. Hapo ndoa rehani