Rockefeller
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,209
- 2,243
Kiukweli hayo maboresho ulioyasema yana zaidi ya miezi miwili sasa chiefHapana hawakuwa na option ya kuongeza kasi ya kucheza sauti yaani ×1 kasi ya sauti ya kawaida ×1.5 unaongeza kasi pamoja na ×2 .
Pia kutuma ujumbe na kujifuta automatiki hawakuwa nayo.