WhatsApp yafanya Maboresho Yaja na Features Mpya

Hapana hawakuwa na option ya kuongeza kasi ya kucheza sauti yaani ×1 kasi ya sauti ya kawaida ×1.5 unaongeza kasi pamoja na ×2 .
Pia kutuma ujumbe na kujifuta automatiki hawakuwa nayo.
Kiukweli hayo maboresho ulioyasema yana zaidi ya miezi miwili sasa chief
 
Wale wa GB Whatsapp hizo mambo tulishazipata zamaani.
 
Ujumbe wa kujifuta mbaya kama ni mpenzi wako kakutumia picha yake nzuri ya good night, akiwa amevaa kanga tu. Unaiona mara moja tu..mara paap... is gone! Damn it!

Hapana hawakuwa na option ya kuongeza kasi ya kucheza sauti yaani ×1 kasi ya sauti ya kawaida ×1.5 unaongeza kasi pamoja na ×2 .
Pia kutuma ujumbe na kujifuta automatiki hawakuwa nayo.
 
Ujumbe wa kujifuta mbaya kama ni mpenzi wako kakutumia picha yake nzuri ya good night, akiwa amevaa kanga tu. Unaiona mara moja tu..mara paap... is gone! Damn it!
Na hii lazima watuchezee hivyo
 
Features hizi zote zimetolewa public miezi mitatu sasa. New feature with couple of days ni uwezo wa kushare jumbe Status.
-
Soon multi device use itatolewa kwa umma mzima, sasa natumia WhatsApp kwenye vifaa vinne.
 
Hii kwa namna moja inasaidia sana hasa kwenye business na official issue
 
Soon multi device use itatolewa kwa umma mzima, sasa natumia WhatsApp kwenye vifaa vinne.
Na hapo hata security yao (ende-end encryption) itakuwa ndogo sana. Sababu mim naweza jiunga WhatsApp ya mtu mwingine kwenye sim yangu na kuaccess privacy zake zote. Hapo ndoa rehani
 
Kwa muktadha huu na Telegram end-to-end encryption ni ndogo sana?
 
Back
Top Bottom