Endelea kumeza bitter pills kwa niaba yetu.Yah,pills for you,mpone ugonjwa wa ukabila
Hio evidence peleka ICC wahukumiwe sio hapa JF.Hao CRIMINALS,waliwahonga,kuwaua na kuwatisha mashaidi wasiende kutoa ushahidi ICC ndo unaongelea hapa?mmejaza criminals state house alafu mnapiga kelele humu,shame on you.
Hata kutopiga kura ni msimamo tosha.Ila kuna umuhimu wa kunyesha msimamo wa nchi. Kukimbia ni unafiki na uoga
Kujifichaficha na kutojulikana kwa msimamo ni unafiki na uogaHata kutopiga kura ni msimamo tosha.
Niende kufanya nn ICC?our President is known as "Mr Clean" wewe ndio umesema kwamba waliachiwa,haha,poor you,ile ni kesi ya jinai,kesi ya jinai haifi.Wakimaliza tu,ICC.Endelea kumeza bitter pills kwa niaba yetu.
Hio evidence peleka ICC wahukumiwe sio hapa JF.
Hata kupiga kura sababu wengine wanapiga ni unafik na uoga.Kujifichaficha na kutojulikana kwa msimamo ni unafiki na uoga
Upuzi peleka vijiweni.Niende kufanya nn ICC?our President is known as "Mr Clean" wewe ndio umesema kwamba waliachiwa,haha,poor you,ile ni kesi ya jinai,kesi ya jinai haifi.Wakimaliza tu,ICC.
TRAITORS!!!Hata kupiga kura sababu wengine wanapiga ni unafik na uoga.
Yaonekana unafiki ni msamiati mzito sana. Lakini mnaeleweka na tunawasoma vizuri sanaHata kupiga kura sababu wengine wanapiga ni unafik na uoga.
Kwani walienda ICC kwa sababu gani mkuu?Upuzi peleka vijiweni.
Mzee pale ikulu yako wamejaa wahalifu wa ICC. Huo ndo ukweliUpuzi peleka vijiweni.
Pia sisi tumewasoma vizuri sana.Yaonekana unafiki ni msamiati mzito sana. Lakini mnaeleweka na tunawasoma vizuri sana
Ni wahalifu wetu. mbona yanawawashaMzee pale ikulu yako wamejaa wahalifu wa ICC. Huo ndo ukweli
Pamoja na kuwaelewa uzuri sanaPia sisi tumewasoma vizuri sana.
Sio kila Mkenya anasupport hii upuuzi. Don't generalize. Waafrika tusisahau tulikotoka. Wazungu walituny'ang'anya shamba
yetu huku wengine wetu tuko mbioni kusuport nchi inayotesa na kunyakua shamba ya wengine. Dunia gani hii tunayoishi?
Wakiambiwa wanategemea misaada kutoka USA mapovu yanawatoka. Ninyi mmeona hayo tu, sikilizeni voa swahili wanavyosifu uamuzi wa kenya. Rwanda ni nchi ndogo, lakini waliacha unafiki wao wakaiambia Ufaransa kuwa ilihusika kwenye mauaji ya kimbili, na wakatishia kumtimua barozi wa Ufaransa. Hata South Africa walipojaribu kuwahifadhi wa Kagame kila mtu anajua kilichotokea. Msimamo thabiti ndio silaha ya kiume, sasa hawa Kenyans tuwaiteje
hapa naona aibu kama mkenya maana tulitakiwa kuwa watu wenye msimamo,lakini tumekuwa tukiwasaliti wanyonge ndani ya nchi sembuse wa nje 🙁Wakiambiwa wanategemea misaada kutoka USA mapovu yanawatoka. Ninyi mmeona hayo tu, sikilizeni voa swahili wanavyosifu uamuzi wa kenya. Rwanda ni nchi ndogo, lakini waliacha unafiki wao wakaiambia Ufaransa kuwa ilihusika kwenye mauaji ya kimbili, na wakatishia kumtimua barozi wa Ufaransa. Hata South Africa walipojaribu kuwahifadhi wa Kagame kila mtu anajua kilichotokea. Msimamo thabiti ndio silaha ya kiume, sasa hawa Kenyans tuwaiteje