Kwanini huu uzi uko jukwaa hili?? Ontario mtoto mdogo mwenye akili kubwa heshima yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Haijapona mchumba..Kwa nyuzi nilizoziona humu jamaa anafaa kuwa Celebrity na humu kuko fine.
Vipi PM imepona?
Kwanini mchumba? Hutak competitors?Natamani ibaki hivyo hivyo tu mchumba.
Hilo jina jamaa sijui alikuwa anafikilia nini wakati anajisajili JF. Binafsi ni mmoja kati ambao wakiliona jina lake basi nacheka sanaaaaa.au
aiseeeeeeeh kila nikiliona hilo jina nacheka sana
yupo zake insta kule anapost mapicha kwa raha zake.....Habari waungwana!!! I hope wote mpo salama!!!
Ni muda sasa takribani miezi 10 member ONTARIO haonekani tens humu!!! Nimefuatilia nimegundua Last seen ni January 13 2018.
Mwenye kufahamu acc mpya atusaidie au aina nyingine ya mawasiliano maaana hata FB siku hizi haonekani kabisa!!
jina lake ni noumah sana yaani refu afu linachekeshaHilo jina jamaa sijui alikuwa anafikilia nini wakati anajisajili JF. Binafsi ni mmoja kati ambao wakiliona jina lake basi nacheka sanaaaaa.
miminimkulimaakachekasana upo??!!!
Kama ndo haka basis heshima ziende kwake,kiwanda sio lazima ujenge likitu likubwaaa hats huyu ni kiwanda Tayari,safi sana kijana kwa kutumia kichwa chako vizuri kujipatia maisha bora,sasa achana na hiyo kazi Fanya kazi halali,Tengeneza kipato halali ,saidia wasiojiweza,lipa kodi,Mungu atakuelewa...Huyo hapo Mkuu , vipi una lingine la kusema ???? View attachment 852598View attachment 852599View attachment 852600
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu walitapeliwa na mtu mwembamba hivi?Huyo hapo Mkuu , vipi una lingine la kusema ???? View attachment 852598View attachment 852599View attachment 852600
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaaa daahDah huyu jamaa bora usingemuanzishia uzi asee maana hapa utakuwa unatonesha vidonda vya wadau ambavyo vilishaanza kupona.
Nasubiria mapovu tu hapa sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mamdenyi nae walimnanga kipindi cha msiba wa mumewe
Masikini!akaamua kuondoka kabisa kabisaMamdenyi nae walimnanga kipindi cha msiba wa mumewe
[emoji252] [emoji479]
Labda kabanwa na majukumu,