Where Is Ontario?

Where Is Ontario?

Habari waungwana!!! I hope wote mpo salama!!!

Ni muda sasa takribani miezi 10 member ONTARIO haonekani tens humu!!! Nimefuatilia nimegundua Last seen ni January 13 2018.

Mwenye kufahamu acc mpya atusaidie au aina nyingine ya mawasiliano maaana hata FB siku hizi haonekani kabisa!!
yupo zake insta kule anapost mapicha kwa raha zake.....
 
Kama ndo haka basis heshima ziende kwake,kiwanda sio lazima ujenge likitu likubwaaa hats huyu ni kiwanda Tayari,safi sana kijana kwa kutumia kichwa chako vizuri kujipatia maisha bora,sasa achana na hiyo kazi Fanya kazi halali,Tengeneza kipato halali ,saidia wasiojiweza,lipa kodi,Mungu atakuelewa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom