Which country has best intelligency agency

Tunatofautisha mtu mmoja na mwingine kutokana na maarifa na sio umri,nadhani sijafanya vibaya kukupa maarifa ya namna ya spelling na matumizi ya r na l.
 
Hio nazi hunters ngoja niitafute mkuu, hao jamaa kwa operation zao hakuna mtu duniani wakiamua kumsaka wanamkosa mkuu
Ngoja na mimi niitafute mkuu. So far nimeshuhudia operation nying za mossad and my favorite ni operation orchard, thunderbolt(entebe), na opera. Jamaa wamebarikiwa sio siri. They are the chosen ones.
 
Tanzania inaongoza kua
Na intelijinsia, kama ile tekniki ya kung'oa wahalifu meno bila kutumia ganzi au dawa za kutunza maumivu.
 
Hakuna kitu kama KGB siku hizi. So unashindanisha CIA, MOSSAD na MI6. Unashindanisha Pan, Yanga na Simba. All the best.


KGB ni shirika la kijasusi la Russia kama hujui mjomba. Wacha kuropoka hapa
 
katika nchi ambazo cia waliiba data ni pamoja na israel,sasa mtasemaje leo ina best inteligent
Ukisema hivyo basi China ndio the best. Majasusi wa China walishawahi kuisachi cia mpaka Bush akaamuru ifanyike reformation. Baadaye wakatuma ndege ya jipelelezi isioonekana ikagongwa na mig 16 wakati marubani wa kichina wakiilazimisha kutua.

Bado natamani kujua mengi zaidi.
 
Hakuna kitu bana. Israel iko overrated sana. Kamwe Israel haiifikii Marekani katika chochote kile.

Eti Amerika ni koloni la Israel....hata haya hamna nyie? Yaani kweli unadiriki kusema Amerika ni koloni la Israel?

Wewe huna akili kabisa!
Jamaaa kaongea anayofahamu na kaja na facts zake ni kwanini USA ni koloni la Israel

Sasa na wewe ungefanya kukataa kwa vithibitisho ni kwanini USA sio koloni la Israel na sio kujibu kwa kifupi na kwa kebehi.
Acha upunguze ushabikii wako kwa hao watu.
 
Mkuu KGB halipo kwa sasa bali inaitwa FSB walifanya reformation ya kila kitu mkuu
 
SASA nawewe mbona umetumia kingereza huoni kuwa bado utumwa huo
 
TISS vipi?
Walishindwa jua sukari itapotea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…