Whistleblower: Kashfa nzito suala la sukari, wamo vigogo wazito

Yule majaliwa hafai kabisa sijui kwa Nini mama alikunaliana naye kuwa aendelee kuwa pm. Alivyonishangaza ni pale aliponiletea majina yake eti nihakikishe yanapita kipindi kile afasi za ualimu elfu 13 zimetangazwa.

Mana yake anachikiongeaga Ni tofauti kabisa na anachokitenda. Yuko pale kwa ajiri ya kumuangusha mama. Mama ashtuke mapema
 
Inawezekana ikawa kweli Ila pia inawezekana kundi la walanguzi na waagizaji ndio wanafanya hizi propaganda ili wapate uhalali wa kuingiza sukari.
Hapo utetezi unalazimisha ni lazima sukari iagizwe na mtu yoyote sio viwanda peke yake. Kuna walakini
 
Hana ushahidi mleta habari ni muhuni tu fulani
 
Tuna uhakika gani huyo pilato unayempa taarifa naye hapigi?
 
Waliopo kwenye hiyo chain wanatamani uzi ufutike. Mods mkifuta uzi tunaupandisha.

Katiba Mpya ni muhimu sana. Ili tusonge inabidi kunyonga watu.
 
Kwahiyo kipimo chako ni Nape ma Zitto??

we kweli hamnazo
Mtu aliyejificha nyuma ya keyboard ambaye hajaweka ushahidi wowote sio kipimo changu cha ukweli!

Kwa hali ya kisiasa sasa hivi ilivyo hapa Bongo. Hii habari ingekuwa na ukweli wowote ingekuwa imeshalipuliwa na watu wanaojulikana!
 
Mtu aliyejificha nyuma ya keyboard ambaye hajaweka ushahidi wowote sio kipimo changu cha ukweli!

Kwa hali ya kisiasa sasa hivi ilivyo hapa Bongo. Hii habari ingekuwa na ukweli wowote ingekuwa imeshalipuliwa na watu wanaotumia majina!!
Ccm damu damu anapoanza kutetea wahuni wenzie.

Sisi tunaochora mambo tulishaona kitambo Jiwe, manjaaliwa na jenista sio watu wazuri. Hizi habari wala hazitushangazi.
 
Wewe kumbe nawewe ni kilazatu, wewe umejua Majaliwa yupo nyuma ya sukari kwa ushahidigani.
Kupambana na marehem nikupoteza muda tu bahati nzuri wananchi wanajua kilakitu.
 
Waliopo kwenye hiyo chain wanatamani uzi ufutike. Mods mkifuta uzi tunaupandisha.

Katiba Mpya ni muhimu sana. Ili tusonge inabidi kunyonga watu.
Katiba Mpya muhimu sana. Tungekuwa na Mahakama imara, takukuru bora, polisi safi hawa wahuni leo wangeondoka madarakani. Lakini kwakuwa katiba imewalea wataendelea kutamba na huu uchafu wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…