Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PM siyo msafi, hata kwenye michezo, yeye ndo alikuwa Master Mind wa Karia ili aendelee kuwa raus wa TFF. Hata zile Harrasment za waliokuwa wakichuana na Karia. PM yuko nyuma ya ujinga ule.Yule majaliwa hafai kabisa sijui kwa Nini mama alikunaliana naye kuwa aendelee kuwa pm. Alivyonishangaza ni pale aliponiletea majina yake eti nihakikishe yanapita kipindi kile afasi za ualimu elfu 13 zimetangazwa. Mana yake anachikiongeaga Ni tofauti kabisa na anachokitenda. Yuko pale kwa ajiri ya kumuangusha mama. Mama ashtuke mapema
Ingekuwa ni rahisi hivyo hata wewe ungefanya hiyo kazi.Mwambie huyo mchambuzi alete ushahidi wa maelezo yake. Mbona Hutaki Unaacha alikuwa anatupa hata na account namba za benki pesa zilipopita, siku hata saa na nani alipokea hizo fedha!? Watu watoe tuhuma kwa ushahidi usiotiliwa shaka. Vinginevyo, huku ni kuchafuana kwa maslahi binafsi.
Eti bwana. Mtu anashare zake taarifa nyeti anatokea mtu anaanza maswali kama fomu ya TCM9Mkuu kwa hiyo huyu jamaa muongo ?
Mada nzito hiiNi jambo jema!
Nasubiri andiko lako kuhusu Mbowe.
Hayo ya ufisadi nawaachia akina Muhuni na Kiroboto!
Msma alitakiwa achague PM mpya, nilishangaa kuendelea na wa aliyekuwepoSijawahi wala sitakaa nimfikirie Majaliwa kama mtu mwema kwa hili Taifa na waru wake. Mungu anisamehe ila namuona Majaliwa kama mtu mwenye roho mbaya, mnafiki, mzandiki na mwenye tamaa. Hajawahi kuwa mkweli kwa Taifa. Hata sasa namuona ndie masta mind wa anguko la Mama. Ana jionyesha kwake kama mtu mwema lakini hafai. Muda utaongea. Nani alijua yeye na Jenister ndio wako nyuma ya sakata la sukari? Bado ikija ya mafuta ya kula na mafuta ya gari utamkuta Majaliwa.
Tulimpigia Mama aanze na safu yake akaona watu wana mfundisha kazi. Akabeba uchafu wa mwenda kuzimu. Sasa wazimu una mkuta. Amebaki kusema hato kubali wakati amesha kubali. Hata madudu yaliyopo bandarini ukifuatilia mkono wa Majaliwa upo. Makesi ya hovyo mahakamani Majaliwa yupo.. Say all evils lazima yupo..
Huyu john ni mkuu wa wahuni na wapumba.vu, tumesoma hadi tunatoa machozi yeye anakuja na mambo ya kijingaMada zingine weka upumbavu wako mfukoni mwako,hii mada it got nothing to do with politics ,ni issue inayoongolea kuhusu watanzania wote regardless itikadi zao,welldone my whistleblower maana mpo wachache sana,kama ni kweli uliyoyaandika hapa Imani yako itakujibu,umenikimbusha uandishi wa gazeti la Rai(sio la sasa)na gazeti la mfanyakazi;shame on us kwa kuyafanya maisha ya mtanzania wa kawaida kuwa hovyo kabisa.
Yaani mpaka wengine wanahisi pana ndumba hatari,yaani ile siku anateuliwa na JPM kwa mara ya pili na kumnanga kuwa hana ubia na mtu alikuwa mpore sana.Msma alitakiwa achague PM mpya, nilishangaa kuendelea na wa aliyekuwepo
Matusi ya nini. Weka uthibitisho ya unachoongea kama huna wewe ndiye muhuni.Wewe jamaa ni liongo na linafiki. Yaani ktk kujiita mnyetishaji ni muongo kabisa. Huo mradi kwanza ulikwama kwa sababu kuna watu walileta feasibility study ya kubumba na ya kifisadi serikali ikaamua kufumua na kufanya upya. Na hiyo ndiyo sababu ya prof kuondolewa kwa sababu alitoa kazi ya kuandaa plan kishikaji na hao ma prof wa udsm walijifungia ndani na kuandika andiko. So ujue serikali ya Dkt Magufuli ilikuwa makini sana. Acha kupotosha. Huu ujinga wako ni wakitoto sana, kila ulichoandika ni cha kutunga na ni uongo. Nimepuka tu hint kidogo ya kilichoanza mi najua mpaka mwisho wewe muhuni muhuni usipotoshe. Mnataka Mama kumjaza uongo ili afanye kama kwenye mkataba wa meli, wahuni nyie.
Hojazake zimejichanganya changanya ukimsoma vizuri utaona amejikita kumchafua Marehemu tu.Mwenzako ametoa ushahidi na uhusika wake na makampuni kadhaaa wewe unapinga kwa kutumia hoja gani??
Katunag hizo habari mkuuMatusi ya nini. Weka uthibitisho ya unachoongea kama huna wewe ndiye muhuni.
Ubaya ni pale ambako Jaji wa kutoa hukumu ni Ridhiwani Mrisho Kikwete halafu mtuhumiwa ni Khalfani J Kikwete😅Kazi sana, tukiweka sheria ya kunyongwa/kupigwa risasi kwa ukweli ukibainika juu ya mtenda makosa, basi ndani ya miaka mitatu Taifa litaanza kuigwa na kufuata maadili na sio kuimba na kuhubiri amani
Kabisa yaani. Haya majitu ni mfano kamili wa shetani katika hii dunia. Hivi unapata raha gani ya kutumia pesa inayotokana na mipango ambayo inadhuru raia wasio na hatia na masikini kabisa.Siku CCM ikitoka madarakani, hii nchi maisha yatakuwa mazuri sana,maana michezo wanayoicheza ya kuhujumu nchi na kuwatesa wananchi itapungua ama kuisha ,
Wamekazana kuwafukuza wanao kula ganji 50,000 ,200,000, wakati wao wanapiga billions bila woga?
Walaaniwe kabisa
Hujui kitu wewe, umekaa kuandika mipasho tu.Tatizo njia mnayotumia siyo sahihi. Mama ndiye rais na ndiye mpeperusha bendera wetu wa 2025, ila nyie mnafanya kila mbinu kuhakikisha mnamfitinisha na wapiga kura. Mnatunga uongo mwingi wa ufisadi ili awamu ya 5 ionekane ilikuwa fisadi ili mje kusema Mama alikuwa sehemu ya ufisadi hafai. Kikubwa tumewastukia lazima Mama na Dkt Magufuli tuwatetee kwa nguvu zetu zote. Awamu ya 5 ilikuwa ni serikali ya kizalendo sana
Mwambie huyo mchambuzi alete ushahidi wa maelezo yake. Mbona Hutaki Unaacha alikuwa anatupa hata na account namba za benki pesa zilipopita, siku hata saa na nani alipokea hizo fedha!? Watu watoe tuhuma kwa ushahidi usiotiliwa shaka. Vinginevyo, huku ni kuchafuana kwa maslahi binafsi.
Nadhami unao undugu na waliotajwa hapo unajitahidi kuwatetea lakini huna uthibirisho wa utetezi wakoKatunag hizo habari mkuu