Whistleblower: Kashfa nzito suala la sukari, wamo vigogo wazito

PM siyo msafi, hata kwenye michezo, yeye ndo alikuwa Master Mind wa Karia ili aendelee kuwa raus wa TFF. Hata zile Harrasment za waliokuwa wakichuana na Karia. PM yuko nyuma ya ujinga ule.

Kumbuka hata alivyopita bila kupingwa kule jimboni kwake, uhuni aliowafanyia wagombea wa ACT na Chadema.

PM hafai, abadilushwe!
 
Ingekuwa ni rahisi hivyo hata wewe ungefanya hiyo kazi.
 
Nashukuru niliyoweka moyoni yamepata msemaji watz amkeni kuna watu wanajifnya wazalendo kumbe ni unafiki mtupu kuna mambo mnaweza mlaumu mama bure kumbe kuna watu wanamwangusha Sana.

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Msma alitakiwa achague PM mpya, nilishangaa kuendelea na wa aliyekuwepo
 
Huyu john ni mkuu wa wahuni na wapumba.vu, tumesoma hadi tunatoa machozi yeye anakuja na mambo ya kijinga
 
Msma alitakiwa achague PM mpya, nilishangaa kuendelea na wa aliyekuwepo
Yaani mpaka wengine wanahisi pana ndumba hatari,yaani ile siku anateuliwa na JPM kwa mara ya pili na kumnanga kuwa hana ubia na mtu alikuwa mpore sana.
 
Matusi ya nini. Weka uthibitisho ya unachoongea kama huna wewe ndiye muhuni.
 
Mwenzako ametoa ushahidi na uhusika wake na makampuni kadhaaa wewe unapinga kwa kutumia hoja gani??
Hojazake zimejichanganya changanya ukimsoma vizuri utaona amejikita kumchafua Marehemu tu.

Kama akiliyako imechangamka kidogo huwezi hata kumaliza kusoma uziwakemrefu kabla hujajua lengolake.
Ameunganisha unganisha uovuwa watuwengine ilikupata mtaji wa kustabilize malengoyake.
 
Kazi sana, tukiweka sheria ya kunyongwa/kupigwa risasi kwa ukweli ukibainika juu ya mtenda makosa, basi ndani ya miaka mitatu Taifa litaanza kuigwa na kufuata maadili na sio kuimba na kuhubiri amani
Ubaya ni pale ambako Jaji wa kutoa hukumu ni Ridhiwani Mrisho Kikwete halafu mtuhumiwa ni Khalfani J Kikwete😅

Tuanze na kukata hii chain ya kupeana vyeo kwanza kabla hatujaimpose wasimamizi wa sheria!
 
Kabisa yaani. Haya majitu ni mfano kamili wa shetani katika hii dunia. Hivi unapata raha gani ya kutumia pesa inayotokana na mipango ambayo inadhuru raia wasio na hatia na masikini kabisa.

Unatakiwa kuwa na roho mbaya sana kuwa na tabia za ki*en*e kama viongozi wa CCM..

Hata Hitler angefikiria mara mbili badala ya kuwa na roho mbaya hivi.
 
Hujui kitu wewe, umekaa kuandika mipasho tu.
 

Kwa kawaida aliyechafuliwa jina huenda kudai haki yake mahakamani na hapo ndipo ushahidi wa kina huhitajika pande zote.
 
Propaganda nyingi hamna lolote Sasa pamoja na kwanza Magufuli amefariki mbona Bado sukari inapanda bei Kama yy ndo alikuwa kikwazo? Haya nchi mmeachiwa Kikwete, Maushungi, Kinana, makamba, Nape na Membe wenu mbona Vitu vinapanda bei, machinga wanalia, Ufisadi unaongezeka, madini yanatoroshwa Kila Leo, tozo kibao, kiburi kwa watendeji wa maofsini umekithiri mno , ila nyinyi ccm mmesahau Chama chenu kilivyokuwa kinanuka, jamaa amewarudishia chanel ten yenu, Majengo mengi ya CCM, viwanja vingi vilikuwa jina tuu Kama Kaitaba, kirumba , dodoma jamhuri , Karme Arusha, Leo hii mnamiliki asilimia 💯 ya hisa Leo hii mnajifanya kumchafua Magufuli,sawa madhaifu Alikuwa nayo Kama mwanadamu lakin vitu vimeonekana mfano , Bwawa la Nyerere, Busisi bridge, Chato airport, Barabara nyingi, Hospital nyingi.

Hata nyinyi fanyeni Ufisadi lakin tunataka tuone Mambo ysnafanyoka , Tatizo lenu mnataka mhodhi vyote bila kukumbuka wananchi mfano kikwete kuuza bandari ya Bwaga moyo sio sawa et kwa sababu ya mwanae asinyongwe tamaa za kuuza madawa ndo unataka uligharimu taifa, Gesi Mtwara hata haieleweki,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…