Whistleblower: Kashfa nzito suala la sukari, wamo vigogo wazito

Wambie wenzako waliokutuma waache kujitekenya na kucheka wenyewe. Ujue Watanzania kwa sasa tupo makini na unachozungumzia ni utumbo mtupu. Kama ni kwa nia ya kushafisha kauli ya juzi, ukweli nkwambie wazi umefeli kabisa, rudi na data zako hizo ulizopewa za kipropaganda dhaifu kajipangeni upya na safu yako. Mh. Kassimu Majaliwa Waziri wangu mkuu na Kiongozi wetu songa mbele chapa kazi.
 
Nadhani awamu hii hamjui maana na matumizi ya neno nonsense


Ziara ya NSSF na Magereza kwenda kujifunza kwa Bakhresa ni ubia wa watu wawili hiko kiwanda; tofauti na porojo tunazotaka kulishwa.

Binafsi naamini serikalini kuna wazalendo wengi sana wenye nia njema ya kulisaidia taifa. Wanachohitaji ni kiongozi mwenye maono kama yao vinginevyo ukiingia kichwa mwenyewe utapotea kihasara hasara bure tu; kilichobaki unaangalia misimamo ya raisi ukiona yupo kama mama na wewe iba yaishe kuliko kiherehere.

Ata huyo Magufuli alikuwa na ushamba fulani kama kuwasaidia wazalendo serikalini ni kwa asilimia ambazo azifiki za juu kabisa. Walau he did something na alikuwa anasoma mafaili waliyokuwa wanampelekea na kushaurika maeneo kadhaa.

Hii nchi imejaa mijizi japo siungi mkono NSSF kuingia kwenye sukari (simply they don’t have the know to run such a business) lakini Magufuli hana mkono ni kihehere chao. Na NSSF awapo kwenye sukari kipindi hiko hiko cha Magufuli waliingia kwenye ubia wa kuzalisha mafuta ya kupikia (god knows what other production industry they’re involved in) na kwenye sukari wanaenda jenga kwa ubia na Magereza awapo pekee yao.

Mtu anakuja anaandika ujinga mtupu what would you call that, other than nonsense.
 
Point taken ✔️✔️
 
kwa hiyo watu wakae watunge uwongo halafu serikali utumie gharama ambazo zingesaidia Miradi ya maendeleo Ndiyo aziamishe kwenye mambo yakutunga! Atoe ushahidi usiotiliwa mashaka!
 
Ingekuwa ni rahisi hivyo hata wewe ungefanya hiyo kazi.
Kama hana kifua cha kuhimili mikiki ya kutoa ushahidi kwa watu wa kushughulikia waalifu atoe ushahidi huo usiotiliwa shaka kwa watu wenye uwezo huo. Vinginevyo, naona kama inatengenezwa mbinu ya kula pesa za wananchi!
 
Kwa kawaida aliyechafuliwa jina huenda kudai haki yake mahakamani na hapo ndipo ushahidi wa kina huhitajika pande zote.
Kama wataona umuhimu huo ambao wapo hai watafanya hivyo. Lakini, ni ls kushangaza mambo kuibua tuhumu kwa mtu ambaye hawezi kujitetea. Wakati, mwingine yaweza kuleta hisia za siyo mpango wa Mungu ndiyo maana wanamletea tuhuma za muda mrefu wakati huu.
 
Hakuna hiyo inatosha kabisaaa!!! Asante sana whistleblower.

Kama wako serious na ufisadi basi vyombo husika viingie kazini. Acheni kupotezea kwa mada nzuri na serious kama hii eti kisa ushahidi
mimi sihukubali ushahidi wa namna hii. Tukubali kutokukubaliana.
 
Ubaya ni pale ambako Jaji wa kutoa hukumu ni Ridhiwani Mrisho Kikwete halafu mtuhumiwa ni Khalfani J Kikwete😅

Tuanze na kukata hii chain ya kupeana vyeo kwanza kabla hatujaimpose wasimamizi wa sheria!
Ilitakiwa ianze kipindi kile dikteta alivyoteua wa upande wake
 
Yaani afanye kazi ya polisi na mahakama? Unajua maana ya whistleblower

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Ndiyo najua, na nina mfano hai wa whistleblowers. Ni wale waliokuwa wanampa taarifa Zenye ushahidi usiotiliwa chembe ya mashaka Assange Na wikileaks yake. Ndiyo maana US wanamshitaki kwa kutoa taarifa sahihi za makosa waliyOfanya US.

Pia nadhani sheria zetu zinatoa ufafanuzi mzuri wa maana ya neno whistleblower. Zitafute sheria hizo.
 
Umesahau kuelezea Prof Kahyarara alivyopigwa zenge na Erio kupitia kwa Mkapa na JPM na kuondolewa fasta fasta nssf ili mipango yao fedhuli itimie
 
Ni mda mwafaka Sasa tunahitaji kuwa na kiongozi mwenye msimamo na huruma kwa wananchi , huu ufisadi ni wa kiwango cha ju kabisa .


Sasa wananchi tuanze kuunganisha nukta kuanzia Magufuli alipo aga dunia Waziri mkuu alitudanganya kwamba ni mzima na anachapa kazi ,pia Kulikuwa na shida sana ya kumtangaza Rais Samia kuwa Rais huku kukitaarifiwa kuwa Kuna watu wanahamisha mapesa hazina.

Samia Kama anataka kuongoza nchi hii bila shida ruhusu Demokrasia na upinzani usaidiane kuongoza nchi ,ccm pekee tutarajie maumivu.
 
Juzi hapa Mama ametoa ruhusa tu import sugar kutoka Uganda nadhan ni fursa kwetu aiseee
 
Rais ana nafasi kubwa sana ya Kufuatilia mambo hayo tusubiri , Pia binafsi nampongeza mleta taarifa hii muhimu kwa wananchi ili tujue wezi na watesi wa nchi yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…