Whitney Houston vs Celine Dion nani zaidi?

Whitney Houston vs Celine Dion nani zaidi?

Kitchen party..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nadhani ulizaliwa miaka ya 70 pambaneni na Whitney wenu huyoo wa zilipendwaa... Celine dions balaa linginee

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Hearrly mtoto wa juzi hiyo miaka hajazaliwa na hana dalili 🤣🤣🤣huyo ana ubishii wa ajabu.
 
Mkuu Hearrly mtoto wa juzi hiyo miaka hajazaliwa na hana dalili [emoji1787][emoji1787][emoji1787]huyo ana ubishii wa ajabu.
Hahaa ... nimesoma darasa moja o level na baba yake mzazi hawachi ... alikuwa ni mtu watotoz sana" mimi ndiye nilikuwa chawa wake mkuu .. wewe muulize kuhusu hilo nadhani atashangaa umenijuaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikwasababu ni marehemu,lakhashaaa!!!Whitney alikuwa na kipaji cha juu sana,na utunzi wa nyimbo zinazo sisimua,Sauti yake bado inahitaji waku I cover, then number Mbili anashika Mariah Carey, sasa ndio akifatiwa na Celine Dion.Hiki kizazi hakitajirudia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ewaaa Agiza balimi " .... utalipa mwenyew please

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaa ... nimesoma darasa moja o level na baba yake mzazi hawachi ... alikuwa ni mtu watotoz sana" mimi ndiye nilikuwa chawa wake mkuu .. wewe muulize kuhusu hilo nadhani atashangaa umenijuaje

Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣Yaani hapo unaandika huku unatetemeka kwa hasira why baadhi ya member wamtaje Celine Dion na sio whitney
 
Yaani wewe ukifikisha age 20 nampa kila member buku mbili [emoji3]usibishane na wazee wako aisee Celine msifananishe na yoyote yule.
Lol " hahaa aise ... hivi haujui kuwa nilipatwa na nusu stroke baada ya kusikia ile sheria ya kikokotoo inataka kupitishwa" you know why. . Nina tarajia kustaafu mwakani"....,so mimi ni baba yako kabisa ujue ",..., ila sishangai watoto wasiku hizi hamna adabu. .hahaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom