SaaMbovu
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 6,027
- 5,344
Naona unamsahau Bob Marley.[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]yaan sidhan kama watasahaulikaView attachment 1004875
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona unamsahau Bob Marley.[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]yaan sidhan kama watasahaulikaView attachment 1004875
Mkuu Hearrly mtoto wa juzi hiyo miaka hajazaliwa na hana dalili 🤣🤣🤣huyo ana ubishii wa ajabu.Kitchen party..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nadhani ulizaliwa miaka ya 70 pambaneni na Whitney wenu huyoo wa zilipendwaa... Celine dions balaa linginee
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa ... nimesoma darasa moja o level na baba yake mzazi hawachi ... alikuwa ni mtu watotoz sana" mimi ndiye nilikuwa chawa wake mkuu .. wewe muulize kuhusu hilo nadhani atashangaa umenijuajeMkuu Hearrly mtoto wa juzi hiyo miaka hajazaliwa na hana dalili [emoji1787][emoji1787][emoji1787]huyo ana ubishii wa ajabu.
Sema all over the world tafadhaliMimi kwangu msanii mzuri wa muda wote wa marekani ni MJ
Sent from my SM-J530F using Tapatalk
Ewaaa Agiza balimi " .... utalipa mwenyew pleaseSikwasababu ni marehemu,lakhashaaa!!!Whitney alikuwa na kipaji cha juu sana,na utunzi wa nyimbo zinazo sisimua,Sauti yake bado inahitaji waku I cover, then number Mbili anashika Mariah Carey, sasa ndio akifatiwa na Celine Dion.Hiki kizazi hakitajirudia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha
Hahahaha
Sent from my SM-J530F using Tapatalk
Kumbe mnaangalia sauti?
🤣🤣Yaani hapo unaandika huku unatetemeka kwa hasira why baadhi ya member wamtaje Celine Dion na sio whitneyHahaa ... nimesoma darasa moja o level na baba yake mzazi hawachi ... alikuwa ni mtu watotoz sana" mimi ndiye nilikuwa chawa wake mkuu .. wewe muulize kuhusu hilo nadhani atashangaa umenijuaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa hao ni vijana wenzako mliozaliwa 95s hata hawanipasui kichwa hizo kelele zao najua zitaisha tu baada ya boom kukata na kukosa hela ya bundle .[emoji1787][emoji1787]Yaani hapo unaandika huku unatetemeka kwa hasira why baadhi ya member wamtaje Celine Dion na sio whitney
Kwanza mmeshafanya home work . Aah kumbe kesho j mosi nilisahau ..hahaa[emoji1787][emoji1787]Yaani hapo unaandika huku unatetemeka kwa hasira why baadhi ya member wamtaje Celine Dion na sio whitney
Yaani wewe ukifikisha age 20 nampa kila member buku mbili 😀usibishane na wazee wako aisee Celine msifananishe na yoyote yule.Hahaa ni vijana wa 95s hata hawanipasui kichwa hizo kelele zao najua zitaisha tu baada ya boom kukata na kukosa hela ya bundle .
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣Mfyuuu zako.Kwanza mmeshafanya home work . Aah kumbe kesho j mosi nilisahau ..hahaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Lol " hahaa aise ... hivi haujui kuwa nilipatwa na nusu stroke baada ya kusikia ile sheria ya kikokotoo inataka kupitishwa" you know why. . Nina tarajia kustaafu mwakani"....,so mimi ni baba yako kabisa ujue ",..., ila sishangai watoto wasiku hizi hamna adabu. .hahaaYaani wewe ukifikisha age 20 nampa kila member buku mbili [emoji3]usibishane na wazee wako aisee Celine msifananishe na yoyote yule.