Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
- Thread starter
- #41
Nadhan upo sahihi mkuuLevel of humanity Iko juu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhan upo sahihi mkuuLevel of humanity Iko juu sana
Hongera sanaTahadhari! Mwandishi wa Uzi huu amejikuta anajiuliza yeye Ni Nani baada ya subconscious mind kuleta kumbukumbu kadhaa katika Maisha yake, kwahiyo anawaza Kwa sauti kubwa!!!
Nikiwa shule ya msingi nadhan Darasa la tano au la sita, wanafunzi wenzangu waliniambia huwa wanamuona Baba yangu kwa binti mmoja hivi, ingawa mpaka sasa hivi ninavyoandika ni mama yangu mdogo kwa maana aliolewa mke wa pili na Baba. Kwa umri ule ingetarajiwa ningeenda straight kumwambia mama au mtu mwingine yoyote Yule lakini sikufanya hivyo kabisa na hii Siri ndio naitoa Leo
Najikuta najiuliza WHO AM I
Kuna kipindi miaka ya 2003/4 nilienda na girlfriend wangu club, akaniaga anaenda washroom, akachukua Mda kidogo kurudi nikasema ngoja nitembee kidogo pale ukumbini,dah nikamuona ameshikwa makalio na mwamba kama wanakiss hivi. Nikapita kimya hakuniona, sikumuuliza chochote na tuliendelea Kula gudtime, nilikuja kumwambia siku nyingine kabisa, akabaki anajikanyaga Tu.
Najiuliza WHO AM I
Kuna kipindi nilikuwa na kirukuu / suzuk carry, nikampa jamaa mmoja aniletee hesabu,kumbe nae anatoa deiwaka bwana, aliyepewa deiwaka akapata ajali na alikuwa hajui gari vizur, nikaingia gharama na hasara Kwa matengenezo, huwezi amini jamaa hakuwahi kuomba msamaha hata kidogo, hakuonyesha kusikitika hata Kwa kinafiki, ni jamaa kutoka ilikodondoka Ile ndege hivi majuzi, nikajua huenda ni hulka zao, sikusema chochote wala kulalamika Kwa yeye kutoomba msamaha.
Najiuliza WHO AM I
Unaweza kunitukana au kunitamkia maneno ya hovyo hovyo nikakuangalia Tu na kujifanya kama hakuna kitu kilichotokea, na siweki kinyongo Rohoni
Najiuliza WHO AM I
Nahisi hata kama siku ikija kutokea Nikamfumania mama watoto wangu ingawa sipendi wala kufikiria kuja kutokea, sitarusha ngumi au kuleta fujo kwa yeyote yule isipokuwa kumpa talaka Tu Kwa roho Safi.
Najiuliza WHO AM I
Natambua kuna baadhi ya watu baada ya kusoma Uzi huu watakuja na comment za kejeli na matusi na Maneno ya ovyo ovyo lakini sitawajibu chochote kile na wala sitakwazika.
Najiuliza WHO AM I
Kutoka kwangu ETUGRUL BEY
Ni hayo Tu!
Kweli mkuuUnaishi maisha mazuri sana.Ambayo napenda kuyaishi.
ni kutokuwa na matarajio makubwa kuelekea wengine. hii inasaidia hata return inapokuwa tofauti kutokujali.
Ukiishi hivi unakuwa na amani sana.
Unatafuta huruma kwa wananchiTahadhari! Mwandishi wa Uzi huu amejikuta anajiuliza yeye Ni Nani baada ya subconscious mind kuleta kumbukumbu kadhaa katika Maisha yake, kwahiyo anawaza Kwa sauti kubwa!!!
Nikiwa shule ya msingi nadhan Darasa la tano au la sita, wanafunzi wenzangu waliniambia huwa wanamuona Baba yangu kwa binti mmoja hivi, ingawa mpaka sasa hivi ninavyoandika ni mama yangu mdogo kwa maana aliolewa mke wa pili na Baba. Kwa umri ule ingetarajiwa ningeenda straight kumwambia mama au mtu mwingine yoyote Yule lakini sikufanya hivyo kabisa na hii Siri ndio naitoa Leo
Najikuta najiuliza WHO AM I
Kuna kipindi miaka ya 2003/4 nilienda na girlfriend wangu club, akaniaga anaenda washroom, akachukua Mda kidogo kurudi nikasema ngoja nitembee kidogo pale ukumbini,dah nikamuona ameshikwa makalio na mwamba kama wanakiss hivi. Nikapita kimya hakuniona, sikumuuliza chochote na tuliendelea Kula gudtime, nilikuja kumwambia siku nyingine kabisa, akabaki anajikanyaga Tu.
Najiuliza WHO AM I
Kuna kipindi nilikuwa na kirukuu / suzuk carry, nikampa jamaa mmoja aniletee hesabu,kumbe nae anatoa deiwaka bwana, aliyepewa deiwaka akapata ajali na alikuwa hajui gari vizur, nikaingia gharama na hasara Kwa matengenezo, huwezi amini jamaa hakuwahi kuomba msamaha hata kidogo, hakuonyesha kusikitika hata Kwa kinafiki, ni jamaa kutoka ilikodondoka Ile ndege hivi majuzi, nikajua huenda ni hulka zao, sikusema chochote wala kulalamika Kwa yeye kutoomba msamaha.
Najiuliza WHO AM I
Unaweza kunitukana au kunitamkia maneno ya hovyo hovyo nikakuangalia Tu na kujifanya kama hakuna kitu kilichotokea, na siweki kinyongo Rohoni
Najiuliza WHO AM I
Nahisi hata kama siku ikija kutokea Nikamfumania mama watoto wangu ingawa sipendi wala kufikiria kuja kutokea, sitarusha ngumi au kuleta fujo kwa yeyote yule isipokuwa kumpa talaka Tu Kwa roho Safi.
Najiuliza WHO AM I
Natambua kuna baadhi ya watu baada ya kusoma Uzi huu watakuja na comment za kejeli na matusi na Maneno ya ovyo ovyo lakini sitawajibu chochote kile na wala sitakwazika.
Najiuliza WHO AM I
Kutoka kwangu ETUGRUL BEY
Ni hayo Tu!
Ukiwa hivi inakuwa ngumu sana kuumizwa.Kweli mkuu
Na huwa mara nyingi nakuwa na Amani kwasababu nayapokea mambo kama yalivyo huwa sijiulizi sana KWANINI IMEKEKUWA HIVI, WHY ME NA MAMBO KAMA HAYO
Asante mkuuHongera sana
Natamani nipate uwezo kama huo maana ikitokea tafrani yoyote aisee nakuwa mbogo mpaka badae najishangaa kama ni mimi
Ni maoni yako nayapokea mkuuUnatafuta huruma kwa wananchi
Kibaya nisiwaumize watu Ila nikachukue mzigo bankUkiendelea hivi utakuwa mchawi
Swadakta hiyo ni njia nzuri ya kukwepa nguvu hasi, ni kujiweka mbali Tu na Maisha yanakuwa mazuri tuUkiwa hivi inakuwa ngumu sana kuumizwa.
Unaenjoy life.
Ingawa mimi huwa siumii bt ikishakuwa tofuti huwa namuepuka tu mtu. Japo sibaki na kisasi au manung'uniko.
Maoni yako Yana ukweli kiasi Fulani wala siyapingi.Mkuu hapo kwenye kufumania ungesubiri kwanza tukio litokee ndio ujekutuambia kilitokea nini. [emoji3]
Usimtukane mamba kabla hujavuka mto.
Kweli mkuu naamini iko hivyo kabisaBrother wewe ni wewe
Sawa mkuu nimepokea maoni yako,Mwenyewe unajiona umepitia changamoto,mie nikiweka zangu hapa utafuta uzi wako,maana hizi zako ni trela tu