Somtyme kuongoza nchi inabd uwe na roho mbaya kweli kweli , Maghufuli is a perfect man to be a presdaa ...huyo mwamba ni chuma hasa , kuna wakat huwez kubalance mambo yote at once , inabd urisk moja ili jingine lipite , ukijidai kuyabeba yote , yaatakuponyoka yote
 
Wewe pamoja na walio kutuma wote ni wapumbavu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM imetelekezwa kwani Mwenyekiti na Katibu Mkuu wameikimbia corona; wanachungulia tu kutoka mafichoni. Hivyo hivyo
na serikali ya CCM nayo imetelekezwa na Kiongozi wake Mkuu wake, Rais, naye kakimbia; anaichungulia tu corona kutoka mafichoni. Matokeo yake ni kwamba na wananchi, Watanzania, nao wametelekezwa na wameachwa wapuputike tu kama majani ya miti yaliyonyauka.
Magufuli's unique responce to Covid 19 has left been officially supported by WHO
Ni kweli haijawahi kutokea, kitendo cha Rais wa nchi kukimbia na kujificha akiwaacha wananchi alioapa kuwalinda mikononi mwa COVID-18 wakipuputika ni unique na hakijawahi kutokea duniani. Hata lugha ya watu nayo tumeitelekeza na kuiacha ipuputike...awamu hii haijawahi kuwa na mfanowe na haitatokea iwe na mfanowe!
 
Umejiuliza ni kwanini mkuu? Sasa heri hao.Huko kwa wenzetu huwa either wanachukua siraha na kuingia msituni au wanaamua kujivika mabomu na kuanza kulipua watu wasio na hatia
 
Hili gazeti la Majira Times ni gazeti la propaganda za mtaa wa Lumumba.
Hahaaa huyo nguli wa mambele anaandikia gazeti la times MAJIRA la huko ulaya!! Hii issue ni ya kuigongea nyagi tu,hakuna ukweli wowote hapa,kila mtu anatudanganya tu, kuanzia mtaalam hadi mwanasiasa, hapa tuchape nyagi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wewe ulidhani lockdown ni ya muda wote?kwamba ukiiweka Leo hutaitoa hadi Yesu arudi?
Lockdown haiwezi tokomeza huu ugonjwa. Ht nchi za jirani zilizojaribu hiyo njia inawashinda lazma watachukua maamuzi km ya raisi wetu ni jambo la muda tu
 
Hivi kweli huwa mnalipwa ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii mada imekuwa ikiondolewa kwenye Jukwwa la siasa kwa muda wa siku kadhaa lakini wameshindwa wamekubali iwepo. JF wacheni umangimeza hasa baada ya kununuliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…