WHO: Corona Virus inaweza isiondoke
Kunawakati nilikua mgumu sn kuelewa maamuzi ya raisi wetu kukataa lockdown lakini kadri muda ulivyokuwa unaenda niliweza kumuelewa. Nchi za wenzetu walioamua kutumia njia hiyo ya lockdown mwishowe wameshindwa wameamua kurudi mitaani kuchapa kazi licha ya kuwepo na maambukizi na vifo vitokanavyo na covid-19. Tukisema kweli kuutokomeza huu ugonjwa sio jambo la muda mfupi sasa tujiulize hv tunaweza kuweka nchi kwenye total lockdown kwa miezi tano sita kweli. N jambo gumu sn. Big up raisi wetu kwa maamuzi magumu na ya busara.
 
"Has left been OFFICIALLY supported by WHO'

The Official note or release from WHO for endorsement of Magufuli's best response plan towards the pandemic is no where to be found in your eight paragraphed topic!
can be seen by true GTs
 
Siasa za bongo bhana kuna Wazee wa ndio kila jambo halafu kuna wazee wa hapana kila jambo.
Subiri nimsome Parabora maana kesho naenda Geneva halafu nitarudi.
 
Tutampamba with facts my friend
2397479_2396248_20200511_084948.jpg
 
CCM imetelekezwa kwani Mwenyekiti na Katibu Mkuu wameikimbia corona; wanachungulia tu kutoka mafichoni. Hivyo hivyo
na serikali ya CCM nayo imetelekezwa na Kiongozi wake Mkuu wake, Rais, naye kakimbia; anaichungulia tu corona kutoka mafichoni. Matokeo yake ni kwamba na wananchi, Watanzania, nao wametelekezwa na wameachwa wapuputike tu kama majani ya miti yaliyonyauka.
 
Kuna pimbi Humu ambazo daily zinapenda kusikia WB imetunyima mkopo Mara Sijui Pompeo kapiga marufuku mtu flani asiguse huko, Mara Sijui White house imekosoa mchakato mzima wa uchaguzi....

Utadhani ni majamaa ya DRC huko kumbe tunaishi nayo hapahapa mengine ndio Wakurugenzi wetu Huku vijiweni RUBBISH kabisa...

Typed Using KIDOLE
 
Hili gazeti la Majira Times ni gazeti la propaganda za mtaa wa Lumumba.
 
Kunawakati nilikua mgumu sn kuelewa maamuzi ya raisi wetu kukataa lockdown lakini kadri muda ulivyokuwa unaenda niliweza kumuelewa. Nchi za wenzetu walioamua kutumia njia hiyo ya lockdown mwishowe wameshindwa wameamua kurudi mitaani kuchapa kazi licha ya kuwepo na maambukizi na vifo vitokanavyo na covid-19. Tukisema kweli kuutokomeza huu ugonjwa sio jambo la muda mfupi sasa tujiulize hv tunaweza kuweka nchi kwenye total lockdown kwa miezi tano sita kweli. N jambo gumu sn. Big up raisi wetu kwa maamuzi magumu na ya busara.
Mkuu wewe ulidhani lockdown ni ya muda wote?kwamba ukiiweka Leo hutaitoa hadi Yesu arudi?
 
CCM imetelekezwa kwani Mwenyekiti na Katibu Mkuu wameikimbia corona; wanachungulia tu kutoka mafichoni. Hivyo hivyo
na serikali ya CCM nayo imetelekezwa na Kiongozi wake Mkuu wake, Rais, naye kakimbia; anaichungulia tu corona kutoka mafichoni. Matokeo yake ni kwamba na wananchi, Watanzania, nao wametelekezwa na wameachwa wapuputike tu kama majani ya miti yaliyonyauka.
Wakati wa operation freedom Iraq waliokuwepo frintline sio kina Bush!!
 
Back
Top Bottom