WHO: Corona Virus inaweza isiondoke
Huyu alipo hajifichi, kwani as the rule of thumb:

1. around 2% ya walioathirika wote huugua kufikia kuwa na hali mbaya kabisa.
2. 98% ya waathirika wote hali zao hazifiki kubaya.
3. around 5 - 10% ya waathirika wote hupoteza maisha kwa ugonjwa huu.

ukiona tofauti na hapo ujue atakuwa hayupo kabisa, vinginevyo utata kwenye utambuzi au ni takwimu magumashi tu.

Marekani yenye states 52, kwa wastani kwa jana watakuwa wamekufa watu 18 katika kila state. State moja ni kama Tanzania nzima.

Tanzania yenye takribani mikoa 30 si ajabu kupoteza watu 18 kwa ujumla kwa siku pasipo na kufahamu.

Kimsingi inawezekana kuwa hali yetu hata sasa kuwa labda hatuna tofauti na huyu beberu.
Nadhani wewe umekwenda shule kidogo, imependeza kabisa kufanya such analysis
 
Nadhani wewe umekwenda shule kidogo, imependeza kabisa kufanya such analysis

Mkuu asante kwa kuona mantiki kwenye hiyo analysis. Ila wadhani wala ni shule basi?

Haya ni yale yale aliyokiri mzee baba "mtanzania wa leo wa dongobeshi siyo yule wa jana tena."
 
Mkuu asante kwa kuona matikiti kwenye hiyo analysis. Ila wadhani wala ni shule basi?

Haya ni yale yale aliyokiri mzee baba "mtanzania wa leo wa dongobeshi siyo yule wa jana tena."
No, reasoning yako ni from a high power mental faculty, nimeipenda
 
Back
Top Bottom