Huyu alipo hajifichi, kwani as the rule of thumb:
1. around 2% ya walioathirika wote huugua kufikia kuwa na hali mbaya kabisa.
2. 98% ya waathirika wote hali zao hazifiki kubaya.
3. around 5 - 10% ya waathirika wote hupoteza maisha kwa ugonjwa huu.
ukiona tofauti na hapo ujue atakuwa hayupo kabisa, vinginevyo utata kwenye utambuzi au ni takwimu magumashi tu.
Marekani yenye states 52, kwa wastani kwa jana watakuwa wamekufa watu 18 katika kila state. State moja ni kama Tanzania nzima.
Tanzania yenye takribani mikoa 30 si ajabu kupoteza watu 18 kwa ujumla kwa siku pasipo na kufahamu.
Kimsingi inawezekana kuwa hali yetu hata sasa kuwa labda hatuna tofauti na huyu beberu.