Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Na wao wakifika kuanzia miaka 50 wanaishi kwa mashaka au wanaondoshwa na Coronavirus?Kwa nini sasa usiachwe utumalize wote tulio wadhaifu halafu watakaobaki wabaki salama
Wale familia zenye matatizo ya kisukari ya kurithi familia au koo zao ziishe? Je, hawa watakuliwa kuoa au kuolewa na watu wasiokuwa na asili ya matatizo hayo kwenye familia zao? Au itakuwa kama sicko cell tu?
Je, wenye matatizo ya figo na moyo watasalimika na hii kitu?
Life span ya watu duniani itashuka hadi 35.