Wenzetu wanapambana kuendelea kuzuia maambukizi ya kasi kwa kudhibiti mikusanyiko nk. Na kwa wakati huo wanafanya kazi usiku na mchana kupata vaccine.Wataobaki watafika.
Hiyo ni kwa dunia nzima, siyo Tanzania tu.
So far no solution. Na chanjo ndiyo itaua wengi zaidi.
Kwa hiyo watakaa lockdown mpaka dunia iishe?
Saivi mwendo wa kukaa kinyume na maumbile, mtu akiongea ndani ya Barakora(kumradhi) utahisi anatafunikaBarakoa zitatuua jamani
Hakuna jambo lisilo na mwisho.
Corona itaendelea kuwepo, yasema WHOShirika la afya duniani WHO linasema kuwa virusi vya corona sio rahisi kuisha kwa ivi karibuni na itategemea na kila nchi imejipangaje kupamabana nayo.
Kwa wale waliofunga mipaka na kuanza kuzuia toka ndani watafanikiwa zaidi na wanaweza kuviondoa katika nchi zao, ila wale ambao hawakujipanga watarajie majanga zaidi.
Kwa sasakuna chanjo zaidi ya 100 zinafanyiwa uchunguzi.
Kuna nchi waniandae kuishi nao kama magonjwa mengine kama Ukimwi na ebola na kama wana huduma mbovu za afya itakuwa ni maafa zaidi.
From BBC swahili
Hatunywi sumu,hatujinyongi CCM MBELE KWA MBELE.Mh. Rais wetu kalisema hili mapema, kuwa Corona virus haitaisha leo wala kesho, tuchukue tahadhari huku tukifanya kazi, na hakuna lockdown, watu sasa wanaanza kumuelewa, Mh. Rais wetu ni genius tukubali kwa kweli, anaona mbali kabisa
Mmoja hapa Dom anasumbua na range ya baba yake hatar Sana
Kwa hiyo watakaa lockdown mpaka dunia iishe?
Yaani kama USA imepafanya kama uwanja wa nyumbani vile.kwa africa tunaweza kwenda nayo mpaka chanjo itakapopatikana ila huko kwa white people itakuwa imewakata moto vya kutosha
Sent using Jamii Forums mobile app