WHO: Corona Virus inaweza isiondoke
Hivi jamani tuwe wakweli, Nchi ya Kenya walikuwa na Lock down au Curfew?. Kwa sababu Kenya waliweka muda wa kutotoka kuanzia saa moja jioni mpaka Saa kumi na mbili asubuhi(07:00pm-06:00am) , lakini mchana wote watu wanazagaa mitaani wakiwa wanaendelea na shughuli zao kama kawaida.
 
Wale wasanii walitangaza kua wako Lock down sababu wapate mikopo
Hivi jamani tuwe wakweli, Nchi ya Kenya walikuwa na Lock down au Curfew?. Kwa sababu Kenya waliweka muda wa kutotoka kuanzia saa moja jioni mpaka Saa kumi na mbili asubuhi(07:00pm-06:00am) , lakini mchana wote watu wanazagaa mitaani wakiwa wanaendelea na shughuli zao kama kawaida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wafungue mashule wa kufa wafe strong waendelee hii ngoma aishi leo wala kesho, wanaharibu malengo ya watu kusoma miaka mingi afu amna unacho pata.
 
Haya sio maono ya magu ni maono ya wanasayansi tangu kitambo na hii haihalalishi kwamba hatupaswi kuchukua hatua kama lock down n.k. Tumechelewa kuchukua hatua hizi ndio maana maambukizi ni makubwa kuliko wenzetu wote wanaotuzunguka na ndio maana wamefunga mipaka yao.
jifungie mkuu kinachokuwasha kipi.... Watu kama nyie nikiwa raisi shaba tu, au nenda uko walikofanya lockdown uonei huruma maelfu ya watoto watakao kufa njaa , mjinga ww akili matope nenda U.S.A
 
Haya sio maono ya magu ni maono ya wanasayansi tangu kitambo na hii haihalalishi kwamba hatupaswi kuchukua hatua kama lock down n.k. Tumechelewa kuchukua hatua hizi ndio maana maambukizi ni makubwa kuliko wenzetu wote wanaotuzunguka na ndio maana wamefunga mipaka yao.
Umesema uongo!! Hivi huna haya kusema uongo hadharani!! Unasema maambukizi kwetu ni makubwa kuliko wenzetu wote! kweli? Kenya wanaongoza kwa maambukizi mengi Afrika ya mashariki!! Japo Kenya ndo wamechonga sana japo hata wao hawakufanya lockdow halisi!! wamefanya partial lockdown!! Shughuli Nairobi ziliendelea kama kawaida isipokuwa kulikuwa na zuio la kutembea usiku.
 
Haya yamesemwa na WHO, baada ya kugundua kuwa huu ugonjwa unaweza usitoweke, au ukachukua muda mrefu kutoweka.
Source DW.
My take. Wale walokuwa wanabeza mkondo iliochukua Tanzania taratibu wataelewa.
Ni suala muda.
Akhsanteni, naomba kuwasilisha.
At Calvary.
 
H
Hivi jamani tuwe wakweli, Nchi ya Kenya walikuwa na Lock down au Curfew?. Kwa sababu Kenya waliweka muda wa kutotoka kuanzia saa moja jioni mpaka Saa kumi na mbili asubuhi(07:00pm-06:00am) , lakini mchana wote watu wanazagaa mitaani wakiwa wanaendelea na shughuli zao kama kawaida.
Kenya hawajawahi kuwa na lockdown halafu wanataka sisi tufanye lockdown!! Hivi kwa akili ya kawaida tu maambukizi yanatazamiwa kutokea zaidi mchana wakati shughuli nyingi za kibinadamu zinafanyika kuliko usiku ambapo sehemu kubwa ya watu huwa wamelala. Halafu kenya nao pamoja na kufahamu wana maambukizi mengi zaidi lakini nao wanatubeza!! Wao kenya waliiwekea corona breki usiku baada ya kuiachia corona mchana wote itembee na kusambaa!! Huu ni ujinga wa kiwango cha PhD!!
 
Screenshot_20200514-165931.png
 
Inamaana kuwa mahospitalini kuwe na ventilators za kutosha na staff wa ICU wawe na elimu ya kuhudumia wagonjwa wanaofikia hali mbaya
 
Haya yamesemwa na WHO, baada ya kugundua kuwa huu ugonjwa unaweza usitoweke, au ukachukua muda mrefu kutoweka.
Source DW.
My take. Wale walokuwa wanabeza mkondo iliochukua Tanzania taratibu wataelewa.
Ni suala muda.
Akhsanteni, naomba kuwasilisha.
At Calvary.
Nimeleta na picha kuongezea nyama mkuu, DW, BBC Wote wameripoti hii. Wale wapiga kelele za lockdown watamuelewa Magu tu siku zinavyoenda.
 
Inamaana kuwa mahospitalini kuwe na ventilators za kutosha na staff wa ICU wawe na elimu ya kuhudumia wagonjwa wanaofikia hali mbaya
Sister unapitwa na taarifa, Ventilators sio muhimu tena. Madaktari wa Italy walipasua maiti fresh kama 20 wakagundua Virusi vya Corona vinasababisha blood clotting ndo maana % ya waliowekewa ventilators wanakufa. Ventilators zimeshaonekana sio ishu, suluhu ya blood clot ni antibiotic ndo kisa cha US kutangaza dawa ya Ebola kuwa solution kwa muda.
 
Kwanini huu uzi kila ukianzishwa unafichwa JF? Chadema ambao wamenunua mtandao huu ndio hawataki ukweli ujulikane mapema. Where we dare talk openly?
 
Inamaana kuwa mahospitalini kuwe na ventilators za kutosha na staff wa ICU wawe na elimu ya kuhudumia wagonjwa wanaofikia hali mbaya
Na demu wangu nurse kaacha kazi, raia wanakufa si mchezo, huu ugonjwa unakula watu balaa, wajinga sijui wanataka kuanzisha kizazi kipya
 
Back
Top Bottom