Free ideas
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 3,497
- 2,026
Labda nikuulize swali dogo tu!
Huyu MUNGU tunaejaribu kumjadili hapa NI NANI?
Manake huwezi kujadili kitu au mtu au nguvu yyt bila kwanza kufahamu japo MAANA ya hicho unacho kijadili.
Labda tuanzie hapo.
Kwa ufahamu wako WEWE MUNGU NI NANI? AU NI NINI?
Kwa nn unaniuliza swali ambalo unatakiwa kujibu?.
Nikisema hapa hakuna Kitu kinachoitwa UPEPO,we ukasema UPEPO upo/kipo .Mimi nikaendelea kusema kwamba HAKUNA UPEPO,we ukasema tena kwa kujiamini kwamba UPEPO UPO,tena unarangi ya blue,njano,na ni mrefu na unapuliza kwa kasi.Je NANI ANATAKIWA AUELEZEE UPEPO ?,je ni mimi nisemaye hakuna kitu /mtu kinaitwa upepo ama wewe ambaye unajua haya sifa za upepo.,Hapo ndipo wasomaji watakapo ona nguvu zako za hoja.
Kwa maana hio JUU YA kuwa HUKUBALI kuwa MUNGU YUPO.
HUJUI HATA MAANA ya Huyo MUNGU UNAEPINGA kuwa HAYUPO?
Sasa wewe nani wa kukuelewesha!
Ungelisema haya toka.mwanzo wa mjadala huu wala nisingepoteza muda wangu kujadili na wewe.
Siku njema.
haha poor thinker it not making sense to you doesnt mean its senseless .
we put aside science and religion where did nature came from
Maandiko matakatifu.Aliyekwambia Mungu ana chuki na watu ni nani?
utamchunguzaje muumba wako?
umejuaje ni kitu?
Wote mnatakiwa kwanza mkubaliane "upepo" ni nini, vinginevyo kuna uwezekano mpingaji na anayesema upo mkawa mnaongelea vitu viwili tofauti kabisa japokuwa neno mnalotumia linaweza kuwa lilelile. Kwa mfano hata mimi napinga uwepo wa Mungu ambaye anaweza kuzaliwa na akahitaji kula lakini nina kubali uwepo wa Mungu kwa muono tofauti kabisa. Kwa hiyo utaona hapa kuwa neno "Mungu" ni lilelile ila kutegemea na muktadha naweza kupinga au nikubaliane.Nikisema hapa hakuna Kitu kinachoitwa UPEPO,we ukasema UPEPO upo/kipo .Mimi nikaendelea kusema kwamba HAKUNA UPEPO,we ukasema tena kwa kujiamini kwamba UPEPO UPO,tena unarangi ya blue,njano,na ni mrefu na unapuliza kwa kasi.Je NANI ANATAKIWA AUELEZEE UPEPO ?,je ni mimi nisemaye hakuna kitu /mtu kinaitwa upepo ama wewe ambaye unajua haya sifa za upepo.,
INAKUWAJE TENA UNANIULIZA MIMI NIKUAMBIE MAANA YA UPEPO.,sijui kama unanielewa.
Unaamini ni maandiko matakatifu?Maandiko matakatifu.
...To start if I may ask you Mekatilili "What is the definition of God?" For a person to say there is no God, he should know what is the meaning of God.
If I hold a book and say that this is a pen, for the opposite person to say, it is not a pen, he should know what is the definition of a pen, even if he does not know nor is able to recognise or identify the object I am holding in my hand...
In regards to whether GOD do exists or NOT is not todays subject here. The title above is "WHO CREATED GOD"! and I will prefer to stick to that for now.
If you want to know More about GOD if he does Exist or not, then I will give you just a touch of ISLAMIC prospective of GOD.
Go west or East,you must Answer this
I havent requested list of Ancient scholars and years when they existed or a cell realia in an Image form,plus their fields of specialization
You have two quetions to answer
1)What PERCENTAGE of a cell is made up of water%%%%.????????????????????????? .......
2)I have said,i need any Ancient scholar before 570 Ad who just said(with out prove) or knew that living things were made from Water.
Or even a hearby say from Aristotle and his allies that it may state that" i hereby Aristotle with my allies (570 Ad) confirms that living things are made from water.
I told you intelligent creation. What do you want?
ha ha ha ha ha ha ha ha Hayo maswali sio kwamba hawezi kujibu.Ila jamaaa anadhani labda ataibika,au kuonyesha kushindwa .Hapa tunaelimishana tu hakuna anaemlazimisha mwezake akubali msimamo wake.
Mfano hilo swali la kwanza hata chekechea anaweza jibu.Ni vyema akatoa jibu tukaendelea na mengine,Cause ye ni mr material
ila hilo la pili atakesha.
Huyu mi nimesema kazi anayoweza ni kuposti picha za suburbs na madaraja. Huku hawezi.
That is what most pro-God people have been doing all along in this thread. Why don't go through the thread again and If you don't want to see the proof, then may be you are not worth my time.That is not evidence. Can you prove that life was created by a god?
qur an na sayans havitakuonesha vp mungu yupo ila tu utaona uwezo wa mungu katika uumbaji kama utahtaji evidence utakufa ukiwa mpingaji ila nakushaur ikiwa sayans ina kikomo chimbua upande wa pili nna hakika una iq kubwa kwa jins unavyo tetea hoja zako kisomi unaonaje ukajifunza qur an ili tu upate kujua udhaif uliopo ndani ya qur an kama waislam walivyojua udhaifu wa sayans silim hata kinafki tu then pitia hk kitabu cha ajabu kiundani nina hakika hakutakuwa na mtu wa kukuchanganya humu jf maana ikiwa wenzetu wametukimbia hata cc waislam tutakukimbia wewe ni mtu muhimu jifunze ujue muujiza wa qur an ecomicaly scientificaly and socialy then utakubaliana nami kuwa muhammad hata mwanasayans wa leo hawez kuandika kile kitab
Do not fault my thinking, I was trying to be polite. It is your inability to communicate effectively that is the issue.
I cannot engage in that type of hypothetical thinking. Evidence driven reasoning is what I look toin order to understand the cosmos.
This is akin to saying "we put aside you mother and father" where did you come from?
Wote mnatakiwa kwanza mkubaliane "upepo" ni nini, vinginevyo kuna uwezekano mpingaji na anayesema upo mkawa mnaongelea vitu viwili tofauti kabisa japokuwa neno mnalotumia linaweza kuwa lilelile. Kwa mfano hata mimi napinga uwepo wa Mungu ambaye anaweza kuzaliwa na akahitaji kula lakini nina kubali uwepo wa Mungu kwa muono tofauti kabisa. Kwa hiyo utaona hapa kuwa neno "Mungu" ni lilelile ila kutegemea na muktadha naweza kupinga au nikubaliane.
Kwa mantiki hiyo, wewe unavyopinga kuwepo wa Mungu, unapinga kwa tafsiri ipi? Au kwa maneno mengine Mungu ni nini kwa mujibu wa mtazamo wako?
okay huwa sipendi league,ngoja niwasaidie/niwarahisishie maana mmekwama,
Mimi,napinga uwepo wa kitu/mtu ama chochote kile cha namna yoyote ile kisemwacho kwba kipo na kinanguvu ya
ku-govern maisha na kila kinachoendelea ulimwenguni.Nyie mnachokipa sifa zote na nguvu zote.Ambacho hata hivo mmeshindwa mpaka sasa usema ama kuthibitisha kwamba kipo kwa evidences za kuonekana na kuleweke.,Na mara nyingi tunapo hitaji ushahidi wa kuwepo kitu/nguvu hiyo mnaishia kusema kwamba chenyewe hakihitaji ushahidi,sasa iweje mnakielezea kama hakihitaji hata kuchunguzwa??,
NIkisema kitu/nguvu/kiumbe hicho ni UOGA na mnakiumba nyie kutokana na SINTOFAHAMUA,mna sema tunakufuru.,haya nishawafafanulia leteni ushahidi usio na shaka wabuwepobwa kiumbe/nguvu/kitu hicho
da mkuu kwel we uoga huna. kwan umeweza wezaje kuutoa huo uoga