Who created God? Who made him? Where did he come from?

ujibiwe mara ngapi ili ukubali? we kila siku maswali yale yale ulojibiwa na kuingia mtini. au niwakumbushe? wewe na huyo kijana?

Mtu akiuliza, 2 + 3 = ?

Akaambiwa, 2 + 3 = 1.

Kwa maana moja amejibiwa, kwa minajili ya kwamba alichouliza kimefikiriwa na kupewa jibu kwa kadiri ya maoni ya aliyejibu.

Kwa mantiki hii, ni kweli mmenijibu.

Lakini kuna maana kubwa na nzuri zaidi ya jibu. Jibu inabidi liweze kupimika.na kukubalika kwa misingi ya kimantiki.

Kwa maana hii, rejeo la 2 + 3 =1 si jibu sahihi, ni makosa.

Jibu ulilolitoa ni sawa na la kusema 2 + 3 = 1. Linatosheleza kama unataka bora jibu, kwa mimi.ninayetaka jibu bora halinitoshelezi.

Kama unabisha jibu lako limepwaya kimantiki lirudie tena hapa tulijadili.
 
Ni vigumu kupata jibu la suali ikiwa muulizaji na muulizwa wote liko juu la uwezo wao. Naona hii imegeuka ni mashindano...
 

Sawa lakini pia ni muhimu kukubaliana vipimo ni vipi? Maana kuna vile unavyokubali wewe na vile ninavyokubali mimi. Na pia kuna vile tunavyokubali wote kwa maana labda tupige kura au tutafute namna ya kupata mwamuzi maana mara nyingi mantiki zangu umeziona ni 2+3=1 na mimi zako nimeziona 0+3=12.

Pia usikimbie kwa kubadili mwenendo wa swali wala kuanza mashindano ya lugha. Natumai sisi ni watu wazima hatuwezi kupoteza muda katika kitu kimoja tu.
 

kwa nini unaamini 2+1 jibu sio moja ??
 

Ningekupa jibu ila napo utauliza naye Mungu wa Mungu alitokea wapi, bora nikuache uendelee na ujinga wako.
 
Sijui hapa huyo mungu anayezungumziwa ni yupi wa wakristo au waislam,sijui ni yupi real mungu anayezungumziwa hapa ni Jesus son of Virgin Mary au yule aliyejiua kwa ajili yenu msituchanganye hapa,sijaona muislam hata mmoja kajaribu kuchangia katika hii mada maana inavyoonekana huyo mnayemjadili sio tunayemuamini na kufuata maelekezo yake,jiulizeni kabla ya kufika mbali je ni kwanini mungu wenu aliamua kuwa suicidal?nafikiri hii concept ya waislam kujilipua itakuwa imetokana na huyo mungu wenu anayependa kujitoa mhanga,sijui ni kwanini na nyie wakristo hamjitoi mhanga kama wanavyofanya baadhi ya waislam ambao wanatumia mbinu ya jesus kujitoa mhanga.Hebu kaeni chini na mtafakari haya niliyoandika na mtamjua mungu na chimbuko lake.M/Mpamba End.
 

Safi sana karl max alisema ni sawa opium kwa binadamu
 
Nyie mnaosema mungu hayupo natamani mtangulie kufa alaf mjifufue wenyewe then mrudi tena kwenye hii mada. Nadhani mtatuletea majibu sahihi.

Yule alifufuliwa na yesu alisema nn, kama alifufuliwa toka kuzimu kwa nn alishindwa kueleza chochote
 
Very poor reasoning
 

Pumbavu
 

Kipimo ni logic.

Huwezi kuniambia mungu mwenye uwezo wote na upendo wote hawezi kuwa na morality ya kibinadamu tu, achilia mbali ile ya juu zaidi ya kiungu.
 
Kipimo ni logic.

Huwezi kuniambia mungu mwenye uwezo wote na upendo wote hawezi kuwa na morality ya kibinadamu tu, achilia mbali ile ya juu zaidi ya kiungu.
Why should God be like you a God Hater?

Bado haujathibitisha kuwa hakuna Mungu
 
BABA MUNGU unisamehe kwa kuchangia hapa! Utusamehe wote kwa kosa la huu uzi! Kudiscuss the impossible! Wewe ni MUNGU, na utabaki kuwa MUNGU BABA YETU! UTUHURUMIE sana kwa kosa hili!
 
Kipimo ni logic.

Huwezi kuniambia mungu mwenye uwezo wote na upendo wote hawezi kuwa na morality ya kibinadamu tu, achilia mbali ile ya juu zaidi ya kiungu.

Morality ya kibinadamu? ipi unayomaanisha? Toa mfano na unaweza kutumia analogy. Ndio Mungu ana upendo wote na uwezo wote, morality ipi haswa? ukisema "achilia mbali", "juu zaidi" hujaeleza kama mtu mwenye logic. Definition ya juu au chini inategemea na position wewe kama observer. Mwezi (moon) uko juu au chini? Haya twende na ntakukumbusha "morality ya kibidadamu" wakati muafaka ukifika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…